Mkuu nimesoma post zote kutafuta ulipojibu post #25 nimeona umejaribu ktk post #35 lakini kiukweli hujamjibu hizo hoja zake hata moja.Majibu hayo aliyotoa mbona nilishauliza swali lake mkuu , sijajibiwa wewe rejea comments zangu
Ni tatizo akiandika barnaba tu au hata wakiandika wengine?Mkuu nimesoma post zote kutafuta ulipojibu post #25 nimeona umejaribu ktk post #35 lakini kiukweli hujamjibu hizo hoja zake hata moja.
Bali yeye amekujibu au kukuonesha sababu za watu hao wa kanisa kuiona injili ya Barnaba alie andika ameghushi mambo.
Mfano anapo andika mtu historia ya Nyerere aseme alikufa wakati wa awamu ya nne, utaona stori yote ina walakini na batili.
Mtu anaposema alipanda meli Arusha akaenda Moshi utaona hiyo kitu ni tatizo
Injiri ya Barnaba ni tofauti kabisa na Injiri za kwanye biblia kwakuwa Injiri zote za kwenye biblia zinakubaliana kwa pamoja kuwa.Ni tatizo akiandika barnaba tu au hata wakiandika wengine?
Mkuu tatizo sio nani kaandika ni bali nini kaandika?Ni tatizo akiandika barnaba tu au hata wakiandika wengine?
Hiyo ni mada mpya.Kuna wakristo biblia yao una vitabu 72, wengine 66, waethiopia vitabu 82 na wote wanasema waliongizwa na roho mtakatifu kukusanya hiv vitabu nanu yupo sahihi?? Na kwanini uww hivyo?
Tatizo akiandika mtu yeyote yule hata yesu kama akiandika vitu vya kutatanisha mfano kusafiri meli nchi kavu au tarehe tofauti kabisa za wakati wa kuishi mtu flani.Ni tatizo akiandika barnaba tu au hata wakiandika wengine?
Hata kama sijawahi kuyaona maandishi ya huyu mtume Barnaba but hapo kwenye bold sidhani kama unasema kweli, nina hakika humfahamu vizuri Barnabas, Barnabas ndio mtume (kwanza tafsiri ya hilo jina lake ni mwana wa faraja and he was walking his name) ambaye kusema kweli ndiye aliye m sharp mtume Paul hata kawa vile alivyokua, Paul bada ya kumwamini Yesu alijikuta anakataliwa na jamii zote, jamii ya mafarisayo ambayo ndio alikotokea na jamii ya waamini wa Kristo, sababu ilikua ni hi, Mafarisayo waliona "amesariti imani yao" na so walimuona kama ni muasi regarding usomi aliokua nao through elimu yao na pia jamii ya waamini (kina Petro, Paul alipenda sana kumwita Petro kwa jina la Kefa) ilimtenga kwasababu walikua na mashaka nae kama ni kweli kaamua kuingia katika IMANI ya Yesu Kristo, remember wakati mwanafunzi wa kwanza wa Yesu anauawa (Stefano/Steven) Paul ndio alikua ana supervise mauaji hayo na story hi ilijulikana vizuri sana kwa waumini wa YEsu na mitume wake akiwepo Petro, BArnaba mwenyewe nk. Ni Barnaba ndio aliyemtia moyo sana Paul na kumsika mkono na kumfundisha mambo mengi yahusuyo Kristo na hatimae akawa ndio mtume aliye andika nyaraka nyingi kuliko mtume yeyote. Again PAul akiwa sasa kaanza kuhubiri Injili sehemu tofauti tofauti, kwenye team yake miongoni mwa watu waliokua nae ni Marko Yohana (Mark John), Luka na Barnaba mwenyewe, siku moja Marko Yohana (ndiye aliye andika Injili ya Marko) aliahirisha safari zao na kurudi Jerusalem kwa mama yake (umri wa huyu kijana ilikua ni tatizo, he was too young compered with others). Tukio hili lilimuudhi sana Paul na akaamua kutokuendelea nae kwenye safari zake za kimisheni, alimwondoa na kijana huyu akaonesha kukata tama sana, is Barnaba again who took care of him hadi akafikia hatua ya kuandika Injili hiyo ya Marko (kitabu cha pili tu ndani ya agano jipya) With saying so, kama huyu ndio aliyekua mwalimu wa Paul na ulimwengu wa Kiislam unamchukia sana mtume Paul, how comes alioyafundisha kwa Paul yawe tofauti na alicho kuja kuandika!? Hilo moja, lingne ni hili, wakati Barnaba yupo duniani na hadi anakufa, Uislamu na kitabu chake havikuwepo duniani kabisa, yaani hakukua na kitu kinaitwa UISLAM na au Quran duniani by that time, so how comes awe ni supporte wa kitu ambacho hakipo!? Mtume aliyeishi miaka mingi sana ni Yohana, nae alikufa miaka ya 96 baada ya Kristo, wenzie wote kina Petro, Paul, Barnaba mwenyewe, Mathayo, Luka nk walikua wameisha KUFA kitambo sana, uislamu umeanza mwaka 640 BKBaada ya kuonekana iko tofauti sana na injili nyingine ndo mana ikapigwa marufuku. Hiyo injili huumiwa sana na waislam katika baadhi ya mandiko ku support Quran kwani yaongelea ujio wa mtume Muhhamadi na kutouliwa kwa Yesu msalabani.
Kama umuelewa unaeza gundua hizi dini ni miradi ya watu ili kutuweka akili zetu ndani ya BOX.
Umeandika vema,..ila umewachanganya Barnaba wawili tofauti mkuuHata kama sijawahi kuyaona maandishi ya huyu mtume Barnaba but hapo kwenye bold sidhani kama unasema kweli, nina hakika humfahamu vizuri Barnabas, Barnabas ndio mtume (kwanza tafsiri ya hilo jina lake ni mwana wa faraja and he was walking his name) ambaye kusema kweli ndiye aliye m sharp mtume Paul hata kawa vile alivyokua, Paul bada ya kumwamini Yesu alijikuta anakataliwa na jamii zote, jamii ya mafarisayo ambayo ndio alikotokea na jamii ya waamini wa Kristo, sababu ilikua ni hi, Mafarisayo waliona "amesariti imani yao" na so walimuona kama ni muasi regarding usomi aliokua nao through elimu yao na pia jamii ya waamini (kina Petro, Paul alipenda sana kumwita Petro kwa jina la Kefa) ilimtenga kwasababu walikua na mashaka nae kama ni kweli kaamua kuingia katika IMANI ya Yesu Kristo, remember wakati mwanafunzi wa kwanza wa Yesu anauawa (Stefano/Steven) Paul ndio alikua ana supervise mauaji hayo na story hi ilijulikana vizuri sana kwa waumini wa YEsu na mitume wake akiwepo Petro, BArnaba mwenyewe nk. Ni Barnaba ndio aliyemtia moyo sana Paul na kumsika mkono na kumfundisha mambo mengi yahusuyo Kristo na hatimae akawa ndio mtume aliye andika nyaraka nyingi kuliko mtume yeyote. Again PAul akiwa sasa kaanza kuhubiri Injili sehemu tofauti tofauti, kwenye team yake miongoni mwa watu waliokua nae ni Marko Yohana (Mark John), Luka na Barnaba mwenyewe, siku moja Marko Yohana (ndiye aliye andika Injili ya Marko) aliahirisha safari zao na kurudi Jerusalem kwa mama yake (umri wa huyu kijana ilikua ni tatizo, he was too young compered with others). Tukio hili lilimuudhi sana Paul na akaamua kutokuendelea nae kwenye safari zake za kimisheni, alimwondoa na kijana huyu akaonesha kukata tama sana, is Barnaba again who took care of him hadi akafikia hatua ya kuandika Injili hiyo ya Marko (kitabu cha pili tu ndani ya agano jipya) With saying so, kama huyu ndio aliyekua mwalimu wa Paul na ulimwengu wa Kiislam unamchukia sana mtume Paul, how comes alioyafundisha kwa Paul yawe tofauti na alicho kuja kuandika!? Hilo moja, lingne ni hili, wakati Barnaba yupo duniani na hadi anakufa, Uislamu na kitabu chake havikuwepo duniani kabisa, yaani hakukua na kitu kinaitwa UISLAM na au Quran duniani by that time, so how comes awe ni supporte wa kitu ambacho hakipo!? Mtume aliyeishi miaka mingi sana ni Yohana, nae alikufa miaka ya 96 baada ya Kristo, wenzie wote kina Petro, Paul, Barnaba mwenyewe, Mathayo, Luka nk walikua wameisha KUFA kitambo sana, uislamu umeanza mwaka 640 BK
Asante zikufikie.Injiri ya Barnaba Sio Injiri ya Kristo na haiendani na Theolojia ya Kristo hivyo haina mashiko kwa Wakristo.
Machache kati ya hayo ni kwamba.
-Mwandishi wake alikuwa na uelewa mdogo sana kuhusu jiografia ya Upalestina.
-Katika sura ya 99:21 mwandishi anaeleza alipanda kwa miguu kuelekea kijiji cha Kapernaumu, wakati kijiji hicho kipo zaidi ya mita 200 chini ya usawa wa bahari.
-katika sura ya 100 mwandishi anaeleza kuwa Yesu Kristo alienda Nazareti kwa mashua wakati kijiji hicho kipo mita 500 juu ya usawa wa bahari,
-Katika sura ya 151 anasema pia kuwa Yesu alienda Yerusalemu kwa mashua ukiangalia ramani inapingana na huo usemi.
-Barnaba ndiye pekee aliyeandika kuwa Mamajusi waliompelekea zawadi mtoto Yesu, walikuwa watu watatu tu, tofauti na Injiri ya Yesu ambayo haijataja idadi ya Mamajusi bali imetaja idadi ya zawadi tatu walizopeleka (uvumba, manemane na dhahabu)
-Katika sura 40:41 Barnaba analitaja jina la tunda la mti wa mema na mabaya kuwa ni tunda la Tofaa, lile alilokula Hawa ktk bustani ya Edeni, wakati kitabu cha mwanzo na Biblia kwa ujumla ambayo ndiyo chanzo pekee cha habari hii, haijataja popote jina la tunda la Tufaa ktk maelezo yake.
-Katika sura ya 54 Barnaba ameitaja Dinari kuwa ina Minuti 60, bila kujua kuwa Minuti ilikuwa fedha ya Uhispania iliyoanza kutumika mwaka 685 baada ya Kristo wakati wa utawala wa Khalifa Abdul Malaki. Enzi za Yesu hiyo fedha haikuwepo.
- Katika sura ya 150 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo alizaliwa wakati wa utawala wa Pontio Pilato akiwa kiongozi, wakati ukweli ni kwamba utawala wa Pilato ulianza mwaka 26 na 27 baada ya Kristo kuzaliwa.
-Katika sura ya 97 Barnaba anamtaja Mtume Muhammad kuwa ni Masihi na Yesu anamwita Kristo bila kujua kuwa neno Kristo ni kwa Kigiriki na Masihi ni kwa Kiebrania yakiwa na maana moja.
-Katika sura ya 222 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo hakusulubiwa, aliondolewa na Malaika, kisha Yuda alisulubiwa badala yake.
-Katika sura ya 44 Barnaba anaeleza kuwa Ibrahimu alimtoa Ishmaeli awe sadaka katika madhabahu, na anamwita Mungu wa Ibrahimu, Ishmaeli na Yakobo, tofauti kabisa na Mwanzo 22.
-Katika sura ya 192 Barnaba anasema Mwishmaeli ndiye aliyeiandika Torati.
-Barnaba anamweka mtume Muhammadi kama mbadala wa Yesu kristo, angalia sura ya 44, 45, 9, 112, 39 na nyinginezo ktk kitabu hicho.
{ hii ndiyo injili mnayoipigania iwekwe kwenye Biblia takatifu ? }
Katika ukweli huu mchache nadhani wasomaji mmeelewa mlengo wa Injiri ya Barnaba wala sina haja ya kuwaambia.
Injiri iliyowekwa katika biblia inaeleza wazo moja (maudhui yanafanana) ingawa inatofautiana maneno kutokana na mazingira ya kila mwandishi alivyofunuliwa na Yesu mwenyewe, tofauti na Injiri ya Barnaba.
[ Ndio maana kuna msemaji mmoja hapo juu nimemwambia, kama anaihitaji Injiri ya Barnaba, inapatikana madukani, akainunue na kuitumia ]
Hapo zamani za kale, kuna mtume mmoja alitokewa na kiumbe asichokijua, kwenye pango, na bila ya kujitambulisha kwamba kiumbe hicho ni kiumbe gani. Ghafla kikamkaba Koo na kumwambia " SOMA "
Waislamu huwa ukataa utume wa Paulo kwa kigezo kwamba " Paulo hakuwa miongoni mwa wale wanafunzi 12 wa Yesu ". Kutokuwa moja wa wale thenashara inamfanya Paulo asiwe mtume, na kama si mtume maandiko yake si sahihi kwa maana hakuwa na hiyo mamlaka ya kiutume kuandika hivyo vitabu vikawekwa kwenye Biblia.Baada ya kuonekana iko tofauti sana na injili nyingine ndo mana ikapigwa marufuku. Hiyo injili huumiwa sana na waislam katika baadhi ya mandiko ku support Quran kwani yaongelea ujio wa mtume Muhhamadi na kutouliwa kwa Yesu msalabani.
Kama umuelewa unaeza gundua hizi dini ni miradi ya watu ili kutuweka akili zetu ndani ya BOX.
OK; ni Barnaba yupi huyo mwenye hiyo injili!? Sorry kama nimechanganya madesa!Umeandika vema,..ila umewachanganya Barnaba wawili tofauti mkuu
SIO KWELIHata Qurani inayotumiwa na
Wa-Suni na Wa-Shia zinatofautiana.
Hilo wala halina uhusiano wowote na u-Shia au u-Sunni na wala halijazungumzwa popote kwenye Quran!Ndio mana hawa wanafunga Ramadhani leo na wengine kesho yake.
Leo tunajadili kwanza umuhimu wa Injiri ya Barnaba.
.
Nilibahatika kusoma nakala ya injili hiyo na kwa kiasi kikubwa inakubaliana na mafunzo ya Quran. Huenda ni kwa sababu hiyo ndo ikazuiwa isisomwe ili watu wasijewakaona hakuna kupingana katika mafunzo ya imani mbili hizi.naomba kujua kwanini injili ya barnaba iliteketezwa ni karatasi mbili pekee ndizo zilizosalia moja ilikua imeandikwa kwa lugha kihispania na moja kwa kitaliano je sababu zilikua ni zipi kwani barnaba hakua mwanafunzi wa yesu au kuna vitu tunafichwa tusivijue?
nilikua nasoma nakala moja inasemekana injili hiyo wakati wa pope glacious aliiteketeza na aliipiga marufuku kutumika kwanini?
Injili iliyofichwa sio ya barinaba tu hata ya Yesu mwenyewe aliyo andika kwa mkono wake imefichwa haiwezekani Mungu ampe Yesu injili alafu iandikwe na wengine yeye mwenyewe asiandikanatumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence,
bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada
kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba iliteketezwa ni karatasi mbili pekee ndizo zilizosalia moja ilikua imeandikwa kwa lugha kihispania na moja kwa kitaliano je sababu zilikua ni zipi kwani barnaba hakua mwanafunzi wa yesu au kuna vitu tunafichwa tusivijue?
nilikua nasoma nakala moja inasemekana injili hiyo wakati wa pope glacious aliiteketeza na aliipiga marufuku kutumika kwanini?
na kwanini vitabu vingine vya injili havijajumuishwa kwenye bible?
pili nimekua nikisoma tu bible ila kuna vitabu vya watu wengi ambao ndio waliokua wanafunzi wa yesu lakini je ni wote walioteuliwa kuandika injili na yesu? kwa maana nyingine ni nani aliyeteuliwa na yesu mwenyewe aandike injili?
natumaini maswali yangu yameeleweka kama nitakua nimekosea mahala basi turekebishane kwa kua wote tupo kujifunza naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kupata hayo majibu ya hayo maswali husika ufia dini tuweke pembeni
nawasilisha
Mkuu kwani wewe una maoni tofauti? NI YEPI BASI?ukurasa wa.70 hicho Kitabu Anakwambia Malaika woote watakufahalafu muisilamu wanaamini hicho Kitabu ni sahihi
Yuda Iskariot aliwezaje andika kitabu wakati alikufa mapema zaidi baada ya Yesu kusulubiwa!?..Nimeisoma hicho kimenifungua mengi ila sielewi kwanini hakijawekwa kwenye Biblia!!
Maini yangu hicho Kitabu ni fake [emoji53]Mkuu kwani wewe una maoni tofauti? NI YEPI BASI?