Kwanini Injinia alivaa nguo nyeupe kinyume na utamaduni wetu wa Yanga?

Huyu angeweza kuivaa kama nguo yake katika shughuli nyingine nje ya uwanja, tungemuelewa. Sasa unaenda uwanjani kuishangilia timu yako huku ukisisitiza mashabiki tununue jezi rasmi za timu, halafu wewe unakuja umevaa nguo yenye rangi ya wapinzani wetu, ni sawa hiyo kweli?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…