Kwanini Injinia alivaa nguo nyeupe kinyume na utamaduni wetu wa Yanga?

Kwanini Injinia alivaa nguo nyeupe kinyume na utamaduni wetu wa Yanga?

Yanga hata matokeo ya mwisho hawakupost na hawajapost wakipewa medali au mchezaji yoyote amevaa medali. Naona wanajishtukia
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hili jambo linafikirisha sana. Alianza Nabi, wakaja wachezaji wao kwenye tamasha lao, sasa viongozi wao tena katika mechi dhidi ya Simba. Kuna siku nilisema ndani ya misimu mitatu ijayo tutaiona Yanga ikiwa na jezi nyeupe.
 
Hiki kiherehere kwenye mambo ya watu kitumie kwenye maisha yako utafika mbali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mpira una matokeo katili sana...
Hapo mioyo ipo mkononi...
 
Unampangia mtu mavazi??ila utopolo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom