Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Humu naona ni mitusi kwenda mbele, acha nisepe zangu πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒπŸ»β€β™‚οΈπŸƒπŸ»β€β™‚οΈ
 

Mawazo ya Great Thinker ndiyo haya sasa. Unasoma na unaelewa anamaanisha nini.
 
Hao watu unaowaita wajinga au millenials kuumbuka ndio walio wengi wakitoa sauti nchi inatikisika. Kama JPM aliweza kujenga connection nao basi kuna sehemu alifaulu.
Jf unapata ukweli hasa wa kama unakubalika au la kwani watu wapo huru kutoa mawazo yao.
Fb waliokinyume wamekaa kimya wanahofia usalama wao. Wamebaki waliokuwa wapaiga pambio ndio wanalalamika.
Huo ndo ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Yani watu wanajikweza sana utadhani pana qualification fulani zinahitajika kuwa hapa JF wakati ni bure tu na mtu yoyote anaweza kujoin anytime. Yani mtu kaijua JF majuzi tu lakini mbwembwe zake utadhani akishakuwa Member hapa tayari keshakuwa na PHD.

Hapo kwenye swala la kupanic ni haswa kwa hawa Pro-CDM to be specific haswa Jukwaa la Siasa,hawa wanajiona utadhani hii Forum ilitengenezwa kwa ajili yao,ni mabingwa wa kutoa kashfa na kutumia lugha za ovyo huku uwezo wao wa kujenga hoja ukiwa mdogo sana,ni Pro-CDM wachache sana hasa wale Legendaries ndiyo huwa wanajenga hoja na kuzisimamia kwa kina.Ukienda kule Jamii Intelligency na majukwaa mengine huwezi kuta huu upuuzi wa kukejeli watu ovyo kisa wanapingana ki mitazamo.
 
Kuna ujinga mwingine ukisoma unajiuliza, hivi huyu alifikiri kabla ya kuandika au ndio hivyo kaamua tu kujiandikia?

Mitandao ambayo ina thamani kubwa na inaheshimika duniani kote mtu from nowhere anakuja bila facts kwa mihemko eti ni ya watu wenye akili ndogo....

Sipendi generalisation za namna hii hata kidogo...
 
Wewe na uzee wote hujakua licha ya kuwa na wajukuu aisee unazeeka vibaya, vile ulizaliwa vilabu vya gongo Basi unawaza wote ni wakudanga Kama ulivopatikana kwa njia hyo

Halafu unajiona GT [emoji3][emoji3][emoji3]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwenye akili za kitoto tu ndo anaweza kuleta dhihaka kwenye ishu za kijamii km hivi! Kwamba fb Ni ya housemaids, machinga, waliofeli shule nk, Yani nimewafananisha na mtoto wa shule akinunuliwa chupi mpya Sasa ili kutambishia wenzie anajifunua funua ovyo mpaka ionwe, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nadhani unaikumbuka ile story ya range Basi source yake Ni fb
 
so now the topic has shifted from discussing the lower level of understanding for people who use facebook and instagram to discussing my smartness and eloquent in english?.

NB: i'm not pretending to be smart, i'm smart.

Thank u Sir [emoji119][emoji119]
 

Aisee umemaliza Mkuu hapa! Ukiona comments za huyo anaejidai ni GT unabaki umepigwa na butwaa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
As long as hakuna qualifications au entry characteristics za kutumia JamiiForums basi hakuna haja ya mtu kujikweza na kijiboresha mbele ya watu kuwa anatumia JamiiForums au Twitter kwa sababu kila mmoja anaweza kutumia muda wowote akitaka. Na hata kama pengine kungekuwa na rewards kwa users wa mtandao flani (say) JamiiForums au Twitter kwamba ukiutumia huo mtandao unakuwa rewarded bado binafsi nisingeona sababu ya kujikweza. Ila sema tuwape uzuru ndugu zetu maana kujikweza au kujiona bora kuliko akina flani ni sifa ipo katika nafsi inategemea na mtu binafsi umeamua kupambana nayo vipi hiyo sifa(hali).
 
Mitandao ya wenye akili ndogo hyo huwezi kuta great thinker anaitumia hyo
Hao unaowaita ma GT,wengi wao ndio waliofaidika na mifumo dhalimu iliyokuwa ikiwanyonya hao unaowaita wenye akili ndogo.
Falsafa ya JPM ndio iliyoaminika na kuleta matumaini mapya kwa tabaka la chini na ndiomana alichaguliwa na hao wasio na akili kwa wingi wao na hata leo wanamlilia.Mazishi yake ni ushahidi tosha,aliweza kugusa maisha ya walio wengi.
 
Nchi hii kura haziheshimiwi na mwaka Jana hakukuwa na uchaguzi Bali ilikuwa uchafuzi wa kiwendawazimu nilikuwa kituoni na nilishuhudia kwa macho.
Hafu kujiita mnyonge ni kujitukana na kuji undermine uwezo wako ka binadamu, tunatakiwa kukwepa kukiri udhaifu badala yake tukiri positive affirmation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…