Kwanini intaneti isiwe bure?

Kwanini intaneti isiwe bure?

Kwa Tanzania hii watu watashinda mitandaoni tu
Kuangalia muvi
Games
Umbea
Porn nk nk
Yaani itakua balaaa sil a kitoto
 
Clearly hauelewi vizuri internet ni nini. Mkongo wa taifa na ka kipande kadogo sana kwenye hiyo global network. Sehemu kubwa ya miundombinu ya internet inamilikiwa na makampuni binafsi, ni lazima ulipie ukitaka kupitisha data zako.
Mkuu hebu nipe shule ya vitu vinahitajika kwa nchi, mji, nk kuwa internet provider.
 
Hii tunayolipia tu hatuna matumizi sahihi, je tukipewa bure si itakuwa tatizo kabisa.
 
In Short hakuna kitu cha bure duniani; Hata usipolipa wewe kuna a Poor Soul Somewhere analipa...., Hata hili jua sio bure kuna fuel ndani huko inaungua kuna siku itakwisha..., hata hii oxygen tunayovuta bure tukiendelea kuchafua mazingira au sumu ikiwepo kwenye hewa usishangae kila mtu akawa anatembea na kamtungi kake ka oxygen ambapo unapita kila shell kufanya refilling....
 
Uchumi utavyokuwa unapepea ndiyo malipo yake.
 
Wanasema tupo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda. Hayo yanategemea sana internet.

Kwa hiyo kwa sasa internet ni kama barabara kwa umuhimu wake.

Upatikanaji wa internet unawezesha maelfu ya shughuli za kiuchumi kufanyika.

Sasa ili kukuza huo uchumi kwanini serikali hazifanyi/haifanyi internet kuwa huduma ya bure?

Maana internet tunayotumia inatokana na mkongo wa Taifa ambao umejengwa na Serikali.

Mnaonaje internet ikawa bure?
Mkonga ukiharibika utatengeneza na nini kama hutozi chochote?
 
Inawezekana sana...
Elon musk ana mpango wa internet bure dunia nzima..
Anataka kurusha satellite yake maalum kwa hilo
Mkuu Mbona Starlink ya huyo bwana Elon Musk ni internet ya kulipia mkuu hata siyo ya bure. Sema ni cheap maana ni kama dollar 99 kwa mwezi na ni unlimited na speed yake nzuri hasa kwa nchi zetu hizi za kiafrika.
Facebook ndiye alikuwa na mpango wa kutoa internet bure sijui uliishia wapi. Kwa Facebook and Google wakitoa internet bure nitaelewa kwakwua wao biashara yao ni matangazo kupitia internet, the more watu wengi watatumia internet the more wataingiza pesa.
 
Unaposema miundombinu ya internet ni kama ipi
Cable zinazopita baharini, mawasiliano ya internet yanapita kwenye cable siyo kwamba yanasafiri hewani. Elon Musk ana Starlink ambayo ni satelite based internet kwa kiasi kikubwa ina speed compared na satelite based internet zilizokuwepo maana zilikuwa slow sana ndiyo maana mawasiliano ya internet yenye kasi inapita kwenye cable zilizotandazwa baharini zikiunganisha mabara. Wamiliki wa hizo cable ni makampuni mengi kama Google anamiliki about 8.5% ya hizo cable, Kuna kampuni ya TATA, kuna Verizon, kuna SeaCom, na makampuni mengine. Kutandaza hizo cable wanazitandaza kwa meli maalum na submarines na inahitaji pesa nyingi sana. Na ikitokea tatizo pia mfano mwaka juzi nadhani kuna cable ilikatika Kenya internet ikawa tatizo maana ilikuwa inahudumia eneo hilo.
 
Serikali italipia gharama ndogo sana ikiweza kuwa na satellite yake..
Satelite internet ni slow sana mkuu ndiyo maana haitumiki, reliable internet ni via cables ndiyo internet yeney speed. Elon Musk kusolve hilo ndiyo maana anatandaza maelfu ya satelite angani kama vile kutengeneza kama cover juu ya anga, lakini eti utegemee satelite moja ni slow kutokana na latency.
 
Cable zinazopita baharini, mawasiliano ya internet yanapita kwenye cable siyo kwamba yanasafiri hewani. Elon Musk ana Starlink ambayo ni satelite based internet kwa kiasi kikubwa ina speed compared na satelite based internet zilizokuwepo maana zilikuwa slow sana ndiyo maana mawasiliano ya internet yenye kasi inapita kwenye cable zilizotandazwa baharini zikiunganisha mabara. Wamiliki wa hizo cable ni makampuni mengi kama Google anamiliki about 8.5% ya hizo cable, Kuna kampuni ya TATA, kuna Verizon, kuna SeaCom, na makampuni mengine. Kutandaza hizo cable wanazitandaza kwa meli maalum na submarines na inahitaji pesa nyingi sana. Na ikitokea tatizo pia mfano mwaka juzi nadhani kuna cable ilikatika Kenya internet ikawa tatizo maana ilikuwa inahudumia eneo hilo.
Sorry after hapo Hawa provider kama Simba net,Blinken ya Arusha wanatumia vifaa gani na gharama za kuanzisha hii kitu
 
Wanasema tupo kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda. Hayo yanategemea sana internet.

Kwa hiyo kwa sasa internet ni kama barabara kwa umuhimu wake.

Upatikanaji wa internet unawezesha maelfu ya shughuli za kiuchumi kufanyika.

Sasa ili kukuza huo uchumi kwanini serikali hazifanyi/haifanyi internet kuwa huduma ya bure?

Maana internet tunayotumia inatokana na mkongo wa Taifa ambao umejengwa na Serikali.

Mnaonaje internet ikawa bure?
Nani atawalipa wenye mkonga wa baharini ambao ndo unaleta Internet Tanzania? Ikiwa bure kwa watumiaji lazima kuna entity italipia. Unaweza ukatoa mawazo nani alipia? Serikali? Maana unapoangalia mkonga wa taifa unasahau umeunganishwa na mkonga wa baharini ambao serikali haiumiliki
 
Sorry after hapo Hawa provider kama Simba net,Blinken ya Arusha wanatumia vifaa gani na gharama za kuanzisha hii kitu
Mkuu mimi siyo mtaalam sana wa haya mambo, lakini nao watakuwa wanalipa kwa wenye miundombinu. Kumbuka internet hakuna anyeimilikina wala hulipii kuitumia, bali unalipia miundombinu inayokuwezesha wewe kuwa connected kwenye internet.
 
Sorry after hapo Hawa provider kama Simba net,Blinken ya Arusha wanatumia vifaa gani na gharama za kuanzisha hii kitu
Nimeona wanasema hawa wanatengeneza radio tower . Hii inapokea toka kwenye mkonga na kurusha.
 
Back
Top Bottom