binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
😀Wa iphone wenyewe Huwa hawajibu kabisa, hata tuwapige mawe vipi inauma sana 😥
Depal yuko wapi? Nimemmiss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Wa iphone wenyewe Huwa hawajibu kabisa, hata tuwapige mawe vipi inauma sana 😥
Kumiliki iphone kwa mwanaume ni sawa na kuingia kwenye nyumba ya P DIDDY ...muulizeni mondi ..nashauri hiyo simu kwa wanaume mlio wazima ni bora hata kuto kuigusaBinafsi Iphone ya mwisho kutumia ilikuwa Iphone 7plus. Tena yenyewe niliitumia kwa muda tu nikaachana nayo nikarudi Samsung.
Iphone zimekuja kugeuka kuwa simu za kikekike, za show off, na sijawahi kuona kama zina la maana .
Kitu nilichokuja kugundua pia, kadri uchumi wako unavyoimarika, ndio kadri unavyoweka umuhimu mdogo kwenye vitu kama simu.Kumiliki iphone kwa mwanaume ni sawa na kuingia kwenye nyumba ya P DIDDY ...muulizeni mondi ..nashauri hiyo simu kwa wanaume mlio wazima ni bora hata kuto kuigusa
Ukikitana na demu mwenue Iphone kaka vaa Ndomu mbiliMimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Sikubaliani na wew kuwa hizo simu zimekaa kishamba ila nakubaliana na wew kuwa kwa sasa hzo simu zimekaa kimkakati.Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Naunga mkono hoja. Samsung ndiyo top phone on earth. iPhone ukiacha hayo mapungufu ya battery, restrictions za iTunes, uuzaji wa applications bado naichukia kwa kuwa founder wake Tim Cooks ni shoga aliyejitangazaSijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Ndiyo maana ukiwa na pesa sana hamu ya chakula inapungua unaweza kuwekewa chakula kitamu ambacho watu wanakitamani wewe kisikushugulishe kabisa hadi watu wanakuuliza vipi chakula utakiKitu nilichokuja kugundua pia, kadri uchumi wako unavyoimarika, ndio kadri unavyoweka umuhimu mdogo kwenye vitu kama simu.
Ukishaanza kuwa na hela unakua na vitu vingi vya maana vya kuwa navyo kiasi hata huwazi eti ni aina gani ya simu iko kwenye chati now.
Ukishakua na hela vitu vidogo vidogo vinakua havina maana tena kwako. Tusio na hela ndio tunapenda kuhangaika na vitu vitakavyofanya tuonekane kama tuna hela kumbe hatuna. Sijui hata hua tunamdanganya nani?Ndiyo maana ukiwa na pesa sana hamu ya chakula inapungua unaweza kuwekewa chakula kitamu ambacho watu wanakitamani wewe kisikushugulishe kabisa hadi watu wanakuuliza vipi chakula utaki
Umeongea kwa staha sana leo...😃😃Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Mpaka hata Mimi nimeshangaa!Umeongea kwa staha sana leo...😃😃
Hahaahah halafu unaweza kuta ni mstaarabu tuu sema kaamua kujivuruga 😀😀Mpaka hata Mimi nimeshangaa!
😛 😛
Hizo ndio zilizowafanya mtatuliwe marindaSijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
NakaziaSio iPhone ni ya kishamba, sema watu ndio washamba hebu rekebisha hapo tafadhali
Sio mimi jamani, mimi ni mdogo wake na Bichwa Komwe... 😂Umeongea kwa staha sana leo...😃😃
kuna kitu kinaitwa apple ecosystem, ukiingia humo kutoka ni ngumu sana. yani interaction kati vifaa vya apple ni top notch ukiingia kuchomoka ni ngumu sana.Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.