Kwanini iPhones zimekaa kishamba sana?

Binafsi Iphone ya mwisho kutumia ilikuwa Iphone 7plus. Tena yenyewe niliitumia kwa muda tu nikaachana nayo nikarudi Samsung.

Iphone zimekuja kugeuka kuwa simu za kikekike, za show off, na sijawahi kuona kama zina la maana .
Kumiliki iphone kwa mwanaume ni sawa na kuingia kwenye nyumba ya P DIDDY ...muulizeni mondi ..nashauri hiyo simu kwa wanaume mlio wazima ni bora hata kuto kuigusa
 
Kumiliki iphone kwa mwanaume ni sawa na kuingia kwenye nyumba ya P DIDDY ...muulizeni mondi ..nashauri hiyo simu kwa wanaume mlio wazima ni bora hata kuto kuigusa
Kitu nilichokuja kugundua pia, kadri uchumi wako unavyoimarika, ndio kadri unavyoweka umuhimu mdogo kwenye vitu kama simu.

Ukishaanza kuwa na hela unakua na vitu vingi vya maana vya kuwa navyo kiasi hata huwazi eti ni aina gani ya simu iko kwenye chati now.
 
Sikubaliani na wew kuwa hizo simu zimekaa kishamba ila nakubaliana na wew kuwa kwa sasa hzo simu zimekaa kimkakati.

Hizi simu zinakoelekea ni kama wanaume hazitufai kinamna flan kutokana na mazingira yake yalivyo kwa sasa. Ukitumia hzo simu unaonekana nyororo sana na unaweza hisiwa kivingne (D mbili zinahusika ili kuelewana kweny hii maada yako mwandishi)
Kiufupi hata mimi napata ukakasi kumiliki simu hii bora nikomae na Samsung tu
 
jinsi wamiliki wa iphone wanavyosemwa ni sawa na kanisa fulani kubwa na kongwe,,,,, ukiwasema sanaaaa wanakutazama tu,,,,, jumapili hao wapo na vifaa vyao vya ibada shingoni viti vya mbele hawana mudaβ€¦β€¦πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“β€¦.

Sent from I phone.
 
Naunga mkono hoja. Samsung ndiyo top phone on earth. iPhone ukiacha hayo mapungufu ya battery, restrictions za iTunes, uuzaji wa applications bado naichukia kwa kuwa founder wake Tim Cooks ni shoga aliyejitangaza
 
Ndiyo maana ukiwa na pesa sana hamu ya chakula inapungua unaweza kuwekewa chakula kitamu ambacho watu wanakitamani wewe kisikushugulishe kabisa hadi watu wanakuuliza vipi chakula utaki
 
Ndiyo maana ukiwa na pesa sana hamu ya chakula inapungua unaweza kuwekewa chakula kitamu ambacho watu wanakitamani wewe kisikushugulishe kabisa hadi watu wanakuuliza vipi chakula utaki
Ukishakua na hela vitu vidogo vidogo vinakua havina maana tena kwako. Tusio na hela ndio tunapenda kuhangaika na vitu vitakavyofanya tuonekane kama tuna hela kumbe hatuna. Sijui hata hua tunamdanganya nani?
 
Umeongea kwa staha sana leo...πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hizo ndio zilizowafanya mtatuliwe marinda
 
kuna kitu kinaitwa apple ecosystem, ukiingia humo kutoka ni ngumu sana. yani interaction kati vifaa vya apple ni top notch ukiingia kuchomoka ni ngumu sana.
Nimeondoka iphone miaka kadhaa sasa nikaanza kutumia android ila sababu ilikuwa kuna app nilikuwa ni lazima niitumie na developer hakutengeneza ya iphone na mimi ni mtu ambaye hawez kumiliki simu mbili yani mimi ni simu moja tu.
Ila nina mpango wa kurudi, kwa sababu ya ecosystem yao na app hiyo kwa sasa sina matumizi nayo.
Lakini wengi wa wanaotumia huku ni sifa tu. Lakini by the way iphone ni simu nzuri kuinunua maana ukinunua leo iphone 16, hata ipite mwaka ukija kuuza utaiuza bei nzuri. lakini nunua brand nyingine ipite mwaka uone bei yake itakavyokuwa imeshuka vibaya mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…