Kwanini Isack Newton anapewa kuwa most influencial person duniani kuliko Yesu?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Google pamoja na wana sayansi wa dunia wamekubaliana kwamba watu marufu funian tangu enzi na enzi Isack newton iko juu ya Yesu, wakati Yesu ni Mungu mbona yanachanganya wakati Mungu huyu huyu ndo alir muumba huyu Isack newton.

Muhammad the Islamic prophet amepewa nafasi ya kwanza na watu wasio waislamu wanao pinga mafunsisho yake hili lina tufindisha nini.

Sikiliza video hiyo.

Unaandika utazani hauna kichwa mkuu...Umesema watu maarufu si ndio..then ukasema Isack Newton...Then ukasema Mtu huyo alitakiwa kua Yesu,kwa sababu yesu Ni mungu...mbona Unatuchanganya tuelewe kipi...em tuliza kichwa then tuambie ili tujue tuna solve vp malalamiko yako..Yesu Ni Mtu au Ni mungu...??,tuanzie apo kwanza..
 
Google pamoja na wana sayansi wa dunia wamekubaliana kwamba watu marufu funian tangu enzi na enzi Isack newton iko juu ya Yesu, wakati Yesu ni Mungu mbona yanachanganya wakati Mungu huyu huyu ndo alir muumba huyu Isack newton.

Muhammad the Islamic prophet amepewa nafasi ya kwanza na watu wasio waislamu wanao pinga mafunsisho yake hili lina tufindisha nini. Sikiliza video hiyo.View attachment 3154798
Haya tumesilimu!
Umefurahi?
 
Unaandika utazani hauna kichwa mkuu...Umesema watu maarufu si ndio..then ukasema Isack Newton...Then ukasema Mtu huyo alitakiwa kua Yesu,kwa sababu yesu Ni mungu...mbona Unatuchanganya tuelewe kipi...em tuliza kichwa then tuambie ili tujue tuna solve vp malalamiko yako..Yesu Ni Mtu au Ni mungu...??,tuanzie apo kwanza..
Mkuu sisi wa kuristu tunaamini yesu alikua binaadamu na vinasaba vya Umungu pia kuna kipindi anawekwa msalabani uko analia hapo alikua binaadamu, kwahiyo niko sahihi kuwekwa katika binaadamu, jifinze dini yako mkuu.
 
Tatizo ni kukalilishwa Ila haujaielewa biblia..
Hivi unajua kua Kuna Binadam wana vinasaba Vya Sickle cell lakin sio Wagonjwa wa Sickle cell.,??
 
IMG_2527.jpeg
 
yes nae arudi arushe jiwe angani na likirudi chini ,atoe sababu kwann tutamwelewa ,habari ya kudili na mtu haonekani kwa utetezi wa kijinga eti fumbo la Imani!!!!
 
yesu nae arudi arushe jiwe angani na likirudi chini ,atoe sababu kwann tutamwelewa ,habari ya kudili na mtu haonekani kwa utetezi wa kijinga eti fumbo la Imani!!!!
 
Back
Top Bottom