Sijaliweka ili swala kiimani,wala hakuna mahala nimesema wanao amin yesu ni mungu ni wajinga...Nimejibu kutokana na Hoja yake..yeye kasema kua inakuaje binadam anakua mtu maarufu zaid kuliko mungu...Nimemuuliza swali la msingi sana kabla ya kujibu swali lake la msingi..nawewe kama utaweza unaweza msaidia kujibu ili,Yesu alikua binadam au mungu...??Kwahiyo mkuu unataka kusema yesu pamoja nakua na binasaba vya umungu hakua mungu ni uzushi na ujinga wasisi wa kuristo?
Yeye kajibu kua alikua binadam ila anavinasaba vya umungu...bado haelewi amuweke wapi uyo yesu kama ni mungu au ni Binadam..kama utaweza msaidia kujibu ndipo turudi kwenye swali lake la msingi..