Propaganda hizi hazitakuja kuisha😆😆
Ninachoweza kusema ni mambo yafuatayo;
-Imagine someone very influential hadi mudy akaamua kumwingiza kweny story zake za uongo ili awavutie wakristo(watu wa kitabu) waingie kweny uislamu, but katika kumwingiza kweny story zake za uongo akambadilisha jina akamwita Issa then akamvua uungu wake, so that he could fit perfectly kweny story zake alizopewa pangoni kwa kuinamishwa na malaika jibril
-Eti mudy ndo wakwanza😆😆😆 Yesu katajwa mara nyingi kweny quran kuliko hata mudy, hakuna muislamu asiyemjua yesu, kwanza kweny mafundisho yenu lazima mmezeshwe kwamba yesu hakuwa mungu bali alikuwa nabii wa kawaida tu, but kuna wakristo wengi hawamjui hata huyo Mudy na hawajui hata mambo yake.
-Kwa taarifa yako, huyo Isaac Newton mwenyew alikuwa mfuasi wa kuaminika wa Yesu, aliisoma sana biblia wakati akifanya uchunguzi wa kutambua siku za mwisho, naweza sema Isaac Newton was a dedicated Christian and he took inspiration from Jesus Christ.
Ntamalizia kwa kusema Yesu hahitaji hizo statistics zenu, hata awe namba 3, 5, 10, 100 ukweli utabaki kuwa ukweli tu.