matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
KIMSINGI Hesbullah ndio tishio kubwa.
Hamas ni kama genge flani ambalo wakiamua kulifuta hata kwa gharama ya maisha ya raia wasiohusika wanaweza.
Ila hawa Hesbullah naona ni watat zaidi. Ni jeshi la kisasa na ndio hatarishi kwa usalama wao kuliko Hamas.
Na leo nimemsoma kamanda wa IDF anashauri wahairishe kwanza kuifuta Hamas waelekeze nguvu kujilinda na Hesbullah kaskazini.
Kwa nini Israel kwa Kushirikiana na US wasianze kuifuta Hesbullah kwanza maana kwa mtazamo wangu naona hao mabingwa ndio hatari zaidi. Nakumbuka walipigana miaka flani ngoma ikawa kama droo hadi mapigano yakasitishwa kwa makubaliano.