Kwanini Israel haina mpango wa kuifuta Hesbullah kama Hamas?

Kwanini Israel haina mpango wa kuifuta Hesbullah kama Hamas?

Waivamie Kama walivyofanya hamas ndipo utawafahamu vzr wayaudi
2006 Israel alipigwa akaomba wakae Mezani?

Na sasa hivi Kuna Video Kibao Hezbollah wanatoa live wanavyolipua vifaru vya Israel Na Maeneo mengine mpakani.
 
Hamasi kamshindwa atamuweza Hezbullah [emoji23]

Wavaa nepi wameisha anza kuomba nchi ziwasaidie matekwa wao warudishwe, kwanza hututaki mpaa tuwamalize Hamasi, ohh sijui Amerika anatusaidia tutamaliza hizo underground bunker leo wamebadilisha Wimbo wa tarabu [emoji23]

Narudia tena Israel kupigana tu na Hamasi mpaa America, Muingereza, Mfaransa, Mjeruman na Mkanada wamemsaidie na hatujui labda Italy, Australia, South Korea, na Japani wanamsaidia na badhi ya nchi za kinafiki za kiarabu [emoji23]
waislam akili zenu ndogo sn jana mlikuwa mnalialia kuhusu wapalestina aya wameachwa ss mnataka
 
Tunazidi kujifunza mzozo na utata wa Israel na palestine
 
KIMSINGI Hesbullah ndio tishio kubwa.
Hamas ni kama genge flani ambalo wakiamua kulifuta hata kwa gharama ya maisha ya raia wasiohusika wanaweza.

Ila hawa Hesbullah naona ni watat zaidi. Ni jeshi la kisasa na ndio hatarishi kwa usalama wao kuliko Hamas.

Na leo nimemsoma kamanda wa IDF anashauri wahairishe kwanza kuifuta Hamas waelekeze nguvu kujilinda na Hesbullah kaskazini.

Kwa nini Israel kwa Kushirikiana na US wasianze kuifuta Hesbullah kwanza maana kwa mtazamo wangu naona hao mabingwa ndio hatari zaidi. Nakumbuka walipigana miaka flani ngoma ikawa kama droo hadi mapigano yakasitishwa kwa makubaliano.
Swali zuri,ila kazi ya kulifuta jeshi sidhani kama Huwa inawezekana,labda kwenye story za action movies. Mfano mdogo ni hapo kwa jirani zetu Congo DRC ,Majeshi ya UN yalisemekana yameifuta M23,lakini ukweli ni kwamba wanakuwa wamehama maeneo,ni sawa na lile swali la zamani linalosema ndege wakiwa 100 kwenye mti ukimpiga mmoja wanabakia wangapi? Jibu ni kwamba hakuna anayebaki sababa wanahama mti,hata huko Iraq,Marekani na washirika wake walofanikiwa kumuondoa utawalani Sadam Huelsein lakini hawakuweza kufuta wanajeshi wake,matokeo yake ni vikundi kama ISS kuchipuka na Kuendelea kuwasumbua,the same like Afghanistan waliweza kuwaondoa Taliban kwenye madaraka,Taliban wakakimbilia kwenye milima isiyofikika,lakini baada ya Marekani kuondoa Majeshi yao,Taliban wamerudi madarakani.
Hisbula wamejichimbia Lebanon ndiyo makao yao so rahisi kuwafuta.
 
Ni kweli. Asante sana.
 
Tayari mashambulizi dhidi ya hao magaidi wa Hezbola yameshaanza na wamekiri kwamba wapiganaji wao 14 tayari wameshauliwa na jeshi la Israel.

Huko Lebanon tayari kunawaka moto na raia zaidi ya 4,000 wameshahama maeneo yao kuepuka mashambulizi makali ya ndege za Israel.

Itakumbukwa kwamba leo ndio Israel imeanza rasmi mashambulizi ya anga dhidi ya magaidi ya Hezbola kwani kabla ya hapo Israel imekuwa ikijibu mashambulizi kwa kutumia mizinga tu.
hadi sasa israel imepoteza watu 1400 wengi wakiwa idf kutokana vita vinavyoendelea sanasana na hezbollah, na kumbuka vita ya 2006 na hezbollah israel alichapwa
 
Duniani ni ya 11, na israel ni ya 13
Anayepanga hivyo viwango huwa ni nani, na je kila nchi huwa inawasilisha data za kweli kwa walivyonavyo. Maana siku hizi nimegundua uongo ni mwingi sana katika mambo ya usalama.
 
Anayepanga hivyo viwango huwa ni nani, na je kila nchi huwa inawasilisha data za kweli kwa walivyonavyo. Maana siku hizi nimegundua uongo ni mwingi sana katika mambo ya usalama.
Unachosema ni kweli uongo kutoka kwa nchi za magharibi ni mwingi kutokana wao kuwa na vyombo vikubwa vya habari maana hizi instagram na kila kiti ni cha kwao wanaamua kipi watoe na kipi wasitoe na ukienda nao tofauti unakula ban
 
Unajua nguvu ya iran kivita duniani?
Ameshampiga nani sisi tunachofahamu kuhusu Iran ni kwamba anafadhili vikundi vya kigaidi kama Hamas, Islamic Jihad, Al Qassam, Hezbollah nk.
 
Back
Top Bottom