Kwanini Israel haina mpango wa kuifuta Hesbullah kama Hamas?

Waivamie Kama walivyofanya hamas ndipo utawafahamu vzr wayaudi
2006 Israel alipigwa akaomba wakae Mezani?

Na sasa hivi Kuna Video Kibao Hezbollah wanatoa live wanavyolipua vifaru vya Israel Na Maeneo mengine mpakani.
 
waislam akili zenu ndogo sn jana mlikuwa mnalialia kuhusu wapalestina aya wameachwa ss mnataka
 
Tunazidi kujifunza mzozo na utata wa Israel na palestine
 
Swali zuri,ila kazi ya kulifuta jeshi sidhani kama Huwa inawezekana,labda kwenye story za action movies. Mfano mdogo ni hapo kwa jirani zetu Congo DRC ,Majeshi ya UN yalisemekana yameifuta M23,lakini ukweli ni kwamba wanakuwa wamehama maeneo,ni sawa na lile swali la zamani linalosema ndege wakiwa 100 kwenye mti ukimpiga mmoja wanabakia wangapi? Jibu ni kwamba hakuna anayebaki sababa wanahama mti,hata huko Iraq,Marekani na washirika wake walofanikiwa kumuondoa utawalani Sadam Huelsein lakini hawakuweza kufuta wanajeshi wake,matokeo yake ni vikundi kama ISS kuchipuka na Kuendelea kuwasumbua,the same like Afghanistan waliweza kuwaondoa Taliban kwenye madaraka,Taliban wakakimbilia kwenye milima isiyofikika,lakini baada ya Marekani kuondoa Majeshi yao,Taliban wamerudi madarakani.
Hisbula wamejichimbia Lebanon ndiyo makao yao so rahisi kuwafuta.
 
Ni kweli. Asante sana.
 
hadi sasa israel imepoteza watu 1400 wengi wakiwa idf kutokana vita vinavyoendelea sanasana na hezbollah, na kumbuka vita ya 2006 na hezbollah israel alichapwa
 
Duniani ni ya 11, na israel ni ya 13
Anayepanga hivyo viwango huwa ni nani, na je kila nchi huwa inawasilisha data za kweli kwa walivyonavyo. Maana siku hizi nimegundua uongo ni mwingi sana katika mambo ya usalama.
 
Anayepanga hivyo viwango huwa ni nani, na je kila nchi huwa inawasilisha data za kweli kwa walivyonavyo. Maana siku hizi nimegundua uongo ni mwingi sana katika mambo ya usalama.
Unachosema ni kweli uongo kutoka kwa nchi za magharibi ni mwingi kutokana wao kuwa na vyombo vikubwa vya habari maana hizi instagram na kila kiti ni cha kwao wanaamua kipi watoe na kipi wasitoe na ukienda nao tofauti unakula ban
 
Unajua nguvu ya iran kivita duniani?
Ameshampiga nani sisi tunachofahamu kuhusu Iran ni kwamba anafadhili vikundi vya kigaidi kama Hamas, Islamic Jihad, Al Qassam, Hezbollah nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…