Kwanini jamii nyingi za wafugaji wanatabia za ukatili,watata, hasira hata kwenye mahusiano ni tabu tupu.

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
. SWALI LILIULIZWA

"Swali kwann watu wanaokula sana nyama au wanaotoka jamii ya wafugaji wengi wao wanakuwa na mitetemo ya chini yaani nguvu za chini za kiroho wanakuwa na vurugu, hasira,utata,ugomvi, hawana utulivu hata ukiangalia wanyama wanaokula nyama the same tabia.

MAJIBU YA KIROHO

1: mara nyingi chakula unachotumia kwa uwingi ukiwa mdogo hadi unakua ndio kitajenga tabia yako,mfano- ukipenda kula nyama utakuwa mkatili kama wanyama wanaokula nyama polini ,ukipenda kula mboga za majani utakuwa na uoga kama wanyama wanaokula majani na nyasi porini,mfano high kasikazini kulikua na matukio ya ukatili sana kuliko kusini kwa miaka iliopita ila sasa baada ya kusini kujaa wafugaji na nyama kila mtu anauwezo wa kununua na kula vijana tunawaita wa 2000 hawashauriki majeuri na ukiwa mbishi hata panga wanakukata,ndio maana kuna watu wanakataa kula nguruwe huku kisingizio wakisema ni haramu ila ukweli nguruwe wanapoingiliana kimapenzi jike mmoja anaweza ingiliwa na midume 10 na hakuna kupigana wala kuchukiana,sasa nawe ukitumia nyama hiyo tabia ndio hizo ,walipoona haitoshi wakatengeneza nyama za kusagwa za dukani unaandikwa kuwa nyama ya ng'ombe kumbe ndio ile ile.Mwisho tunaona hadi vijijini tuliko vijana hao wa 2000 wako foleni na mwanamke mmoja na wanaazimishana hela kwa asio nayo ili akamuingilie mke huyo huyo

2: Kwasababu moja kati ya viumbe ambavyo vikifa huwa miili yake haibaki na nishati yoyote ni mwili wa nyama.

Mwili wa binadam unahitaji sana matunda, mimea, na mizizi.

Nyama ikishachinjwa haifai kuliwa. Wanyama ni muhimu kuwafuga tu sio kula.

Ukiwafuga wanyama kama sehemu ya familia yako, ndio utaanza kuona manufaa yao lakn ukiwafuga ili kuwachinja utabaki kuwa muoga, mtu asiye jiamini, mtata, etc…

Ndani ya damu ndio nafsi huwa inapita kuzunguuka mwili mzima, sasa hao jamii ya wamasai, wakurya na wengine wao huwa wanakunywa damu ya wanyama.

Mtu anaekunywa damu huyu amejitia laana maana atakua mtu asiye jielewa, maana ndani yake kuna nafsi nyingi zinafanya kazi.

Yuko sawa na mtu aliyepandwa na mapepo. Lakn yeye sio mapepo ni nafsi za hao wanyama zinakaa kwenye kichwa chake, lazima atakua mtu ambae hapendi kusimamiwa, mtata, mwenye kujihami muda wote, muoga sana
JE : Ni kweli tabia za watu wa kusini Lindi na Mtwara zimebadilika baada ya kupelekwa jamii ya wafugaji?
 
Sisi hapa Tanzania watu wanapigwa wanatekwa wanapotea wewe unatuambia habari za Kula nyama sijui na mambo gani ya ajabu ajabu saiv tunaogopa wewe unasema habari za mahusiano!!! Kwani Israel wanaoua watu kikatiri na wao wanakula nyama??
 
Hatufanani interest maisha lazima yaendelee
 
. SWALI LILIULIZWA

"Swali kwann watu wanaokula sana nyama au wanaotoka jamii ya wafugaji wengi wao wanakuwa na mitetemo ya chini yaani nguvu za chini za kiroho wanakuwa na vurugu, hasira,utata,ugomvi, hawana utulivu hata ukiangalia wanyama wanaokula nyama the same tabia.

MAJIBU YA KIROHO

1: mara nyingi chakula unachotumia kwa uwingi ukiwa mdogo hadi unakua ndio kitajenga tabia yako,mfano- ukipenda kula nyama utakuwa mkatili kama wanyama wanaokula nyama polini ,ukipenda kula mboga za majani utakuwa na uoga kama wanyama wanaokula majani na nyasi porini,mfano high kasikazini kulikua na matukio ya ukatili sana kuliko kusini kwa miaka iliopita ila sasa baada ya kusini kujaa wafugaji na nyama kila mtu anauwezo wa kununua na kula vijana tunawaita wa 2000 hawashauriki majeuri na ukiwa mbishi hata panga wanakukata,ndio maana kuna watu wanakataa kula nguruwe huku kisingizio wakisema ni haramu ila ukweli nguruwe wanapoingiliana kimapenzi jike mmoja anaweza ingiliwa na midume 10 na hakuna kupigana wala kuchukiana,sasa nawe ukitumia nyama hiyo tabia ndio hizo ,walipoona haitoshi wakatengeneza nyama za kusagwa za dukani unaandikwa kuwa nyama ya ng'ombe kumbe ndio ile ile.Mwisho tunaona hadi vijijini tuliko vijana hao wa 2000 wako foleni na mwanamke mmoja na wanaazimishana hela kwa asio nayo ili akamuingilie mke huyo huyo

2: Kwasababu moja kati ya viumbe ambavyo vikifa huwa miili yake haibaki na nishati yoyote ni mwili wa nyama.

Mwili wa binadam unahitaji sana matunda, mimea, na mizizi.

Nyama ikishachinjwa haifai kuliwa. Wanyama ni muhimu kuwafuga tu sio kula.

Ukiwafuga wanyama kama sehemu ya familia yako, ndio utaanza kuona manufaa yao lakn ukiwafuga ili kuwachinja utabaki kuwa muoga, mtu asiye jiamini, mtata, etc…

Ndani ya damu ndio nafsi huwa inapita kuzunguuka mwili mzima, sasa hao jamii ya wamasai, wakurya na wengine wao huwa wanakunywa damu ya wanyama.

Mtu anaekunywa damu huyu amejitia laana maana atakua mtu asiye jielewa, maana ndani yake kuna nafsi nyingi zinafanya kazi.

Yuko sawa na mtu aliyepandwa na mapepo. Lakn yeye sio mapepo ni nafsi za hao wanyama zinakaa kwenye kichwa chake, lazima atakua mtu ambae hapendi kusimamiwa, mtata, mwenye kujihami muda wote, muoga sana
JE : Ni kweli tabia za watu wa kusini Lindi na Mtwara zimebadilika baada ya kupelekwa jamii ya wafugaji?
Sasa kama mtu Anaongea na mfugo kama Binadamu Binadamu unategemea Nini;?
 
Samahani hakuna chochote ulichokiandika hoja ni Moja tu Ukizoea Kuchinja Wanyama hapa ndipo shida huanzia roho inavyotoka lazima mapepo ya ukatili yakuingie
 
Mimi nadhani ile kuishi ishi kipori pori

Fikiria mtu anayeshinda na mbuzi kila siku na jinsi mbuzi alivyomsumbufu after long years atakuwa sawa kweli?
 
Uko sahihi.

Mtu yeyote mkatili maana yake ni mjasiri! Ukatili huanza na ujasiri kwanza.

Kama wewe sio mjasiri huwezi msaidia mbuzi kujiokoa na chatu.

Sisi tukiwa na miaka14 tukiwa hata watatu chatu hawezi mmeza mbuzi au mbwa mbele yetu
 
Back
Top Bottom