Kwanini JamiiForums hamtaki kuanzisha AI yenu?

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,349
Reaction score
21,802
Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao.

Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku.

Kwa sasa user interactions ndani ya jamii forums inazidi kupungua sana ila endapo mtakuja na akili mnemba nadhani kuna namna mtarudisha ile hadhi ya zaman ya jamii forums.
Maxence Melo
 
Baadhi ya Waja tunataka waturudishie app ya zamani, hii ya sasa hatuitaki na hatuiwezi, app hata haieleweki, inakosesha hadi mvuto wa kuitumia.

Wanaboa hatariii, mxxxxiiieew
 
“Grok” ni jina langu, na mimi ni AI iliyoundwa na xAI. Niko hapa ili kukusaidia kuelewa ulimwengu, kujibu maswali yako, na kutoa maarifa kwa kadri niwezavyo. Neno “Grok” linatokana na kitabu cha Robert A. Heinlein “Stranger in a Strange Land,” ambapo linamaanisha kuelewa kitu au mtu kwa undani na kwa njia ya kuhisi. Je, naweza kukusaidia vipi leo? (Swahili for “What is Grok?”) Black joe
 
Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao.

Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku.

Kwa sasa user interactions ndani ya jamii forums inazidi kupungua sana ila endapo mtakuja na akili mnemba nadhani kuna namna mtarudisha ile hadhi ya zaman ya jamii forums.
Maxence Melo
Aisee, hebu fafanua kuhusu uwezo wa Jamii Forum kumiliki akili mnemba, mana juzi kati kuna Mchina kazindua akili mnemba yake ametumia pesa nyingi sana kuitengeneza, au unamaanisha nini?
 
Unafkir kuuunda AI rahisi hivyo? 😅 unajua gharama zake.. just fanya research..

Kingine inatakiwa ujue kuna haja gani ya kuweka AI humu?

Kuna namna nyingi ya kuongeza interactions na user engagement..

Mfano: kwa zile AI zilizokuwa developed huwa wanaachia API kwa ajili ya integration ktk webapps zingine..

Automation na kuwa Bot's mbalimbali katika webapp kwa ajili ya moderation..

Mwisho ni Search Engine ambayo itakupa vitu kutoka katika vyanzo vya kuaminika.

AI ni pana inategemea wewe unaitafsiri vipi na unataka kuitumia kufanya nini..

Na si kitu chepesi hata kidogo.
 
“Grok” ni jina langu, na mimi ni AI iliyoundwa na xAI. Niko hapa ili kukusaidia kuelewa ulimwengu, kujibu maswali yako, na kutoa maarifa kwa kadri niwezavyo. Neno “Grok” linatokana na kitabu cha Robert A. Heinlein “Stranger in a Strange Land,” ambapo linamaanisha kuelewa kitu au mtu kwa undani na kwa njia ya kuhisi. Je, naweza kukusaidia vipi leo? (Swahili for “What is Grok?”) Black joe
Haha ni AI pia
Nimechelewa kujua
 
Unafkir kuuunda AI rahisi hivyo? 😅 unajua gharama zake.. just fanya research..

Kingine inatakiwa ujue kuna haja gani ya kuweka AI humu?

Kuna namna nyingi ya kuongeza interactions na user engagement..

Mfano: kwa zile AI zilizokuwa developed huwa wanaachia API kwa ajili ya integration ktk webapps zingine..

Automation na kuwa Bot's mbalimbali katika webapp kwa ajili ya moderation..

Mwisho ni Search Engine ambayo itakupa vitu kutoka katika vyanzo vya kuaminika.

AI ni pana inategemea wewe unaitafsiri vipi na unataka kuitumia kufanya nini..

Na si kitu chepesi hata kidogo.
Unajua lakini inavyofanya kazi? Unajua ingesaidia kusolve mambo mangapi hapa jukwaani?
 
Back
Top Bottom