Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,748
- 14,962
Nipe Elimu ni mambo gani hayo ingesaidia MkuuUnajua lakini inavyofanya kazi? Unajua ingesaidia kusolve mambo mangapi hapa jukwaani?
Nipe Elimu ni mambo gani hayo ingesaidia MkuuUnajua lakini inavyofanya kazi? Unajua ingesaidia kusolve mambo mangapi hapa jukwaani?
Kwa mfano GPT 3 iligharimu karibia dola milion 4, lakini hiyo ni broad na ipo kwa lugha na upana wote. Hii ya JF itakuwa ya upana mdogo na hata lugha yaweza kuwa chache zile maarufu. Mfano sasaivi ukitaka kujua kuhusu Gentlemen_ hauwezi kupata, nikitaka kujua ni thread yako ipi ilikuwa na likes nyingi pia siwezi jua. Uwepo wa AI utarahisisha ile query ya kusearch mpaka kichwa kiume.Nipe Elimu ni mambo gani hayo ingesaidia Mkuu
Watu wa JF wanapenda Sana "Anonymity" na ndiyo maana wengi wao wamefunga profile Yao.Kwa mfano GPT 3 iligharimu karibia dola milion 4, lakini hiyo ni broad na ipo kwa lugha na upana wote. Hii ya JF itakuwa ya upana mdogo na hata lugha yaweza kuwa chache zile maarufu. Mfano sasaivi ukitaka kujua kuhusu Gentlemen_ hauwezi kupata, nikitaka kujua ni thread yako ipi ilikuwa na likes nyingi pia siwezi jua. Uwepo wa AI utarahisisha ile query ya kusearch mpaka kichwa kiume.
Gpu moja tu ya kutrain AI inauzwa kama milioni 70, sio project za kitoto hizi zinataka mpunga mrefu.Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao.
Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku.
Kwa sasa user interactions ndani ya jamii forums inazidi kupungua sana ila endapo mtakuja na akili mnemba nadhani kuna namna mtarudisha ile hadhi ya zaman ya jamii forums.
Maxence Melo
JF ina Sera zake, ukitak kujua ishu za mtu (kama hapo ulipoelezea) Privacy itakuw ndogo. Ndio maana ktk baadhi ya profiles kuna limit huwez view threads au contents (Restrictions).Kwa mfano GPT 3 iligharimu karibia dola milion 4, lakini hiyo ni broad na ipo kwa lugha na upana wote. Hii ya JF itakuwa ya upana mdogo na hata lugha yaweza kuwa chache zile maarufu. Mfano sasaivi ukitaka kujua kuhusu Gentlemen_ hauwezi kupata, nikitaka kujua ni thread yako ipi ilikuwa na likes nyingi pia siwezi jua. Uwepo wa AI utarahisisha ile query ya kusearch mpaka kichwa kiume.
Kwa mtazamo wako Kaka, kati ya DeepSeek na ChatGPT, ipi unaona ni bora zaidi na kwa nini?Gpu moja tu ya kutrain AI inauzwa kama milioni 70, sio project za kitoto hizi zinataka mpunga mrefu.
Hao deepseek wanaosifika kutengeneza AI ya bei rahisi wametumia Gpu 50,000 ambayo ni Ma Trilioni ya hela hayo.
Ufafanuzi pleaseDunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao.
Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku.
Kwa sasa user interactions ndani ya jamii forums inazidi kupungua sana ila endapo mtakuja na akili mnemba nadhani kuna namna mtarudisha ile hadhi ya zaman ya jamii forums.
Maxence Melo
GROK2 is it true?Gpu moja tu ya kutrain AI inauzwa kama milioni 70, sio project za kitoto hizi zinataka mpunga mrefu.
Hao deepseek wanaosifika kutengeneza AI ya bei rahisi wametumia Gpu 50,000 ambayo ni Ma Trilioni ya hela hayo.