Viongozi wa JF wanaogelea katika bwawa la hela mkuu. Those guys are rich.Mkuu hizi project hazi jiendeshi bure, Kama kuwa changia tume shindwa.
halafu bado twaomba ai inayo cost mahela mzee?
Vyanzo vyao vya mapato una vifahamu au wewe ni muhasibu wa kampuni Yao?Viongozi wa JF wanaogelea katika bwawa la hela mkuu. Those guys are rich.
wao ndio wana fahamu mkuu, Kuna nyuzi baadhi za nyuma zina onyesha kuhusu uchangiaji.Ushawahi jiuliza project ya kuendesha jamii forums huwa inakosti kiasi gani? Na yapi manufaa ya AI
Grok ni nini kwani mkuuUmeona namna ambavyo grok inasolve mambo huko X? Nliwahi kuleta nyuzi mwaka 2017 juu ya AI ila ukafutwa.
Aisee, hebu fafanua kuhusu uwezo wa Jamii Forum kumiliki akili mnemba, mana juzi kati kuna Mchina kazindua akili mnemba yake ametumia pesa nyingi sana kuitengeneza, au unamaanisha nini?Dunia sasa inaenda kasi, ili jamii forums izidi kuwa bora na kubadilika kuendana na teknolojia ya wakati uliopo na ujao.
Inabidi waboreshe sana hii application ikiwa ni pamoja na kubuni akili mnemba au bandia, itayoweza tusaidia kung'amua matatizo yetu ya kila siku.
Kwa sasa user interactions ndani ya jamii forums inazidi kupungua sana ila endapo mtakuja na akili mnemba nadhani kuna namna mtarudisha ile hadhi ya zaman ya jamii forums.
Maxence Melo
Haha ni AI pia“Grok” ni jina langu, na mimi ni AI iliyoundwa na xAI. Niko hapa ili kukusaidia kuelewa ulimwengu, kujibu maswali yako, na kutoa maarifa kwa kadri niwezavyo. Neno “Grok” linatokana na kitabu cha Robert A. Heinlein “Stranger in a Strange Land,” ambapo linamaanisha kuelewa kitu au mtu kwa undani na kwa njia ya kuhisi. Je, naweza kukusaidia vipi leo? (Swahili for “What is Grok?”) Black joe
Unajua lakini inavyofanya kazi? Unajua ingesaidia kusolve mambo mangapi hapa jukwaani?Unafkir kuuunda AI rahisi hivyo? 😅 unajua gharama zake.. just fanya research..
Kingine inatakiwa ujue kuna haja gani ya kuweka AI humu?
Kuna namna nyingi ya kuongeza interactions na user engagement..
Mfano: kwa zile AI zilizokuwa developed huwa wanaachia API kwa ajili ya integration ktk webapps zingine..
Automation na kuwa Bot's mbalimbali katika webapp kwa ajili ya moderation..
Mwisho ni Search Engine ambayo itakupa vitu kutoka katika vyanzo vya kuaminika.
AI ni pana inategemea wewe unaitafsiri vipi na unataka kuitumia kufanya nini..
Na si kitu chepesi hata kidogo.