Kwanini jana waumini walilazimishwa kuimba wimbo wa Taifa Makanisani?

Kwanini jana waumini walilazimishwa kuimba wimbo wa Taifa Makanisani?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Jana waumini wa makanisa mbalimbali walienda makanisani kuabudu kama ishara ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza muongo/ mwaka.

Cha kushangaza wakati ibada inaendelea walilazimishwa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania.

Haya niliyashuhudia kwenye kanisa la RC Kimara na LILE pale karibu na ofisi za ACT, pia kanisa la KKKT Mbezi yalitokea.

Ile maana yake ilikuwa nini sijaelewa mpaka leo, au ndiyo kuleta/kupandikiza uzalendo nini?
 
Maana yake utaifa na uzalendo kwanza imani baadae pongezi kwa mkuu wa nnchi kutuletea mshikamano na upendo wa kupenda taifa kwanza
 
Hawajalazimishwa kwa Desturi na kawaida kanisa katoliki kila wakati Wa sikukuu za Kiserikali baada ya Ibada ya misa kuisha au kabla ya ibada kuisha huimba wimbo Wa Taifa.
 
Kinoamiguu,
Ningekuwa miongoni mwao nisingeimba kamwe! Ya Kaisari na Mungu tofauti!
Na ingekuwa siku ya mwisho kukanyaga kanisa hilo.Upuuzi sivumilii.
 
mtoa mada acha ujinga, hakuna aliye-imba huo wimbo kwa lazima.
 
Jana waumini wa makanisa mbalimbali walienda makanisani kuabudu kama ishara ya kumshukuru mungu kwa kumaliza muongo/mwaka.
chakushangaza wakati ibada inaendelea walilazimishwa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania.
haya niliyashuhudia kwenye kanisa la RC kimara na LILE pale karibu na ofisi za ACT, pia kanisa la kkt mbezi yalitokea
Ile maanake ilikuwa nini sijaelewa mpaka leo.
au ndiyo kuleta/kupandikiza uzalendo nini?
Unaposema walilazimishwa unamaanisha nini? Je unajua maana ya kulazimisha kufanya jambo? Je wewe ni mkatoliki wa lini usijue utaratibu wa Katoliki kuimba wimbo wa Taifa kwenye baadhi ya sherehe au sikukuu? Acha upotoshaji Mimi sio mkatoliki lakini Mara kadhaa nilisali katoliki nikiwa Mdogo huo utaratibu wamekuwa nao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sidhani kama hilo jambo limefanyika jana tu. mimi kwa mara ya kwanza kuliona ni 2008 kanisa kuu katoliki jimbo la Mt. Patrick Morogoro..ni utamaduni kwa makanisa ya kikristo hasa Roman kwani tar.1/1 kila mwaka ni siku ya kuombea Amani Duniani kwa mujibu wa kalenda ya Vatican.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sio mkatoliki zaidi ya kwamba amesimuliwa na kujazwa ujinga
sidhani kama hilo jambo limefanyika jana tu. mimi kwa mara ya kwanza kuliona ni 2008 kanisa kuu katoliki jimbo la Mt. Patrick Morogoro..ni utamaduni kwa makanisa ya kikristo hasa Roman kwani tar.1/1 kila mwaka ni siku ya kuombea Amani Duniani kwa mujibu wa kalenda ya Vatican.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia na wife home upendo tv (walutheri) mimi catholic wife catholic(alipokelewa baada ya mafundisho) ila alikuwa anglican hatukuweza kuwenda church mtoto alimeza shilingi 200 mabalaaa .... Sasa imefika saa sita wakatoa dakika7 kila mtu aombe kwa nafsi yake ... Tulivyomaliza ..akapokea mchungaji gani sijui akaanza papaaaaaramashangoooo kiiirrrrsengelleee nini sijui parapataataaaaa ...ohooooo nkamwambia wife tukalale .... hata yeye akakubali huu upako unaomba kinachoombewa hata hujui ..unaweza kuombewa upate majini bure .... Hiyo kunena kwa lugha ni ujingaaaaa
 
Ibada ya sanamu ilikuwa.poleni waumini.
Jana waumini wa makanisa mbalimbali walienda makanisani kuabudu kama ishara ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza muongo/ mwaka.

Cha kushangaza wakati ibada inaendelea walilazimishwa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania.

Haya niliyashuhudia kwenye kanisa la RC kimara na LILE pale karibu na ofisi za ACT, pia kanisa la KKKT Mbezi yalitokea.

Ile maana yake ilikuwa nini sijaelewa mpaka leo, au ndiyo kuleta/kupandikiza uzalendo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kusena uongo nyambafu.

Back
Top Bottom