mujunwa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 425
- 557
Wewe uliweza kusali kote huko na ukashuhudia wakilazimishwa ? Tatizo lako ni nini wimbo wa Taifa ukiimbwa Kanisani ?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana waumini wa makanisa mbalimbali walienda makanisani kuabudu kama ishara ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza muongo/ mwaka.
Cha kushangaza wakati ibada inaendelea walilazimishwa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania.
Haya niliyashuhudia kwenye kanisa la RC kimara na LILE pale karibu na ofisi za ACT, pia kanisa la KKKT Mbezi yalitokea.
Ile maana yake ilikuwa nini sijaelewa mpaka leo, au ndiyo kuleta/kupandikiza uzalendo nini?
Sent using Jamii Forums mobile app