Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Unaposema walilazimishwa unamaanisha nini? Je unajua maana ya kulazimisha kufanya jambo? Je wewe ni mkatoliki wa lini usijue utaratibu wa Katoliki kuimba wimbo wa Taifa kwenye baadhi ya sherehe au sikukuu? Acha upotoshaji Mimi sio mkatoliki lakini Mara kadhaa nilisali katoliki nikiwa Mdogo huo utaratibu wamekuwa nao!Jana waumini wa makanisa mbalimbali walienda makanisani kuabudu kama ishara ya kumshukuru mungu kwa kumaliza muongo/mwaka.
chakushangaza wakati ibada inaendelea walilazimishwa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania.
haya niliyashuhudia kwenye kanisa la RC kimara na LILE pale karibu na ofisi za ACT, pia kanisa la kkt mbezi yalitokea
Ile maanake ilikuwa nini sijaelewa mpaka leo.
au ndiyo kuleta/kupandikiza uzalendo nini?
Haelewi amejaa upotoshaji? Tatizo hapo kichwani mwake keshawaza siasa
sidhani kama hilo jambo limefanyika jana tu. mimi kwa mara ya kwanza kuliona ni 2008 kanisa kuu katoliki jimbo la Mt. Patrick Morogoro..ni utamaduni kwa makanisa ya kikristo hasa Roman kwani tar.1/1 kila mwaka ni siku ya kuombea Amani Duniani kwa mujibu wa kalenda ya Vatican.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa ni tatizo kama ungeimbwa wimbo wa chama fulaniHaelewi amejaa upotoshaji? Tatizo hapo kichwani mwake keshawaza siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana waumini wa makanisa mbalimbali walienda makanisani kuabudu kama ishara ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza muongo/ mwaka.
Cha kushangaza wakati ibada inaendelea walilazimishwa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania.
Haya niliyashuhudia kwenye kanisa la RC kimara na LILE pale karibu na ofisi za ACT, pia kanisa la KKKT Mbezi yalitokea.
Ile maana yake ilikuwa nini sijaelewa mpaka leo, au ndiyo kuleta/kupandikiza uzalendo nini?
Usiseme uongo. Ni amri ya ngapi vile!?Hawajalazimishwa kwa Desturi na kawaida kanisa katoliki kila wakati Wa sikukuu za Kiserikali baada ya Ibada ya misa kuisha au kabla ya ibada kuisha huimba wimbo Wa Taifa.
Unaposema walilazimishwa unamaanisha nini? Je unajua maana ya kulazimisha kufanya jambo? Je wewe ni mkatoliki wa lini usijue utaratibu wa Katoliki kuimba wimbo wa Taifa kwenye baadhi ya sherehe au sikukuu? Acha upotoshaji Mimi sio mkatoliki lakini Mara kadhaa nilisali katoliki nikiwa Mdogo huo utaratibu wamekuwa nao!
Sent using Jamii Forums mobile app