Kwanini jana waumini walilazimishwa kuimba wimbo wa Taifa Makanisani?

Wewe uliweza kusali kote huko na ukashuhudia wakilazimishwa ? Tatizo lako ni nini wimbo wa Taifa ukiimbwa Kanisani ?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe ni mtoto wa nzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kawaida hii ni utamaduni wa kanisa catholic wa muda,nakumbuka 2014 tuliimba.Wimbo wa taifa ni zaidi ya wimbo kwani una sala ndani yake ya kulibariki taifa,kuliombea amani ,upendo na mshikamano.
 
Kwetu hayo makitu hayapo hata au inategemea labda kiongozi wa ibada akiona muumini ambae yuko serikali na akijua ana kacheo ndo anaema muimbe angalau aonekane kanisa liko sambamba na serikali
 
Wimbo wa Taifa ni Sala tosha
 
Nchi imekuwa hatari Ndo Maana.Ona risas nje nje,watu kuokotwa wamekufa nje nje,kesi za kusingiziwa nje nje.

Ona mtu aliugua kidogo tu mitaani ikawa sikikuu.TAFAKARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…