Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Kwa sasa sheria inasema Rais ndiye mdhamini wa ardhi yote, sasa hao wanaotaka kubadilisha hii sheria wanataka kuifanya iweje?
Wanataka Wageni na wafanya biashara waweze kumiliki zaidi ya watanzania ...yaani misingi ya rasilimali za tanganyika iwe ni miliki binafsi.
 
Ni mjinga fulani anayejiamini bure tu. Connection za baba yake zilimfanya kua na ndoto kubwa kisiasa isiyostahili.
 
kakutuma?
unalipwa sh ngapi?
 
Mwaka 2024 hakukuwa na mgao rasmi wa kukera wa umeme, ashukuriwe aliyeharibu mazingira ili tupate umeme wa uhakika.
 
Kwahiyo unakuri kua wote nimafisadi😄😄na by the way ni lini alikua anakubalika na nani alikua anamkubali?
 
Yap yaleyale ya Lowassa ndo wantaka yamkute January Propaganda za kipumbavu mzee Lowasa mwishowe kafa waliomuita fisadi ndo wanasema yalikua mambo ya siasa
Tena Lowassa aliitwa fisadi kuliko hata January, Lakini alisimama na wananchi wakamkubali....
 
Wanataka Wageni na wafanya biashara waweze kumiliki zaidi ya watanzania ...yaani misingi ya rasilimali za tanganyika iwe ni miliki binafsi.
Kwa maana hiyo lazima wabadili katiba? Au baadhi ya vifungu vya sheria?
 
Sio mtendaji yani akikaa sehem malalamiko kibao hakuna linaloenda,
 
muulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…