Kwanini Jeshi la kongo au watu wakongo hawapigani kama Hamas au Wavietnam? Ni dhaifu kiasi hicho? woga au ni kukosa imani

Haha haha haa

Sina ninachojua bro
 
Miungu ya Samurai wa kijapan unajua au unaisikia. Imani kali wale Hamas warudi darasani.
bila marekani kuwa nuke wale ingekua shida kuna sehemu waliwa train had raia kua wakifika wanajeshi wa maeekani walikua wanashambuliwa
 
Haha haha haa

Sina ninachojua bro

Kuna jenerali tegemezi aliuwawa anaitwa Major General George William Casey Sr

raia wa marekani wakaanza maandamano kwamba ndugu zao wanajeshi warudishwe marekani.. hawataki vita tena.

Maana kama mpaka majenerali wanauwawa hiyo vita ni ngumu
 
Kuna jenerali tegemezi aliuwawa anaitwa Major General George William Casey Sr

raia wa marekani wakaanza maandamano kwamba ndugu zao warudishwe marekani..

Maana kama mpaka majenerali wanauwawa hiyo vita ni ngumu
Chanzo cha hiyo vita ni nini bro?
 
Chanzo cha hiyo vita ni nini bro?

Vita ilikuwa ya wenyewe kwa wenyewe vietnam ya kusini na Vietnam ya kaskazini.. kuna upande ulitaka vietnam iwe nchi ya kibepari na upande mwingine ulitaka vietnam iwe nchi ya kijamaa..

Marekani akaenda kusaidia jeshi la vietnam ya kusini ili alinde maslahi yake ya ubepari.

Shida alipofika vitani raia wa vietnam wote wakamgeuka wa kusini na kaskazini wakaanza kumbonda mmarekani kwa nini kavamia nchi yao huku vita sio yake .

Ndipo vita ikabadilika ikawa ya vietnam vs USA.

Wa vietnam walitumia mbinu ya kutoogopa kufa wengi ila wao waue wanajeshi wote muhimu wa marekani

Hivyo kila jenerali wa marekani aliyepelekwa vitani alikuwa anarudi kwenye jeneza kama maiti.

Ukishamuua jenerali kwenye vita wanajeshi wa chini wanakosa kiongozi.. hivyo unawaua kiurahisi
 
Kuhusu Vietnam bila shaka muvi zimekudanganya sana
kuhusu VIETNAM ni uhalisia hizo movie na kuna MOVIE baadhi serikali ilizipiga marufuku zisitolewe lakini zikatolewa kibingwa
7bu kubwa marekani kushindwa VIETNA ilikuwa JIOGRAFIA ya misitu na JINGINE wanajiji walikuwa wanawasnitch WAMAREKANI utakuja KIJIJI kina VIBIBI wanaishi kwenye VIJUMBA vimechoka ni kama wamekata tamaa na VITA na maisha kumbe chini ya hiyo NYUMBA kuna HANDAKI na kuna mzigo wa kutosha wa SILAHA hatari na wanajeshi KIBAO ambao kuna wakati ukikutana nao kwenye MSITU na mikofia yao unashindwa kutofautisha kati ya WANAJESHI na RAIA
zaidi ni kuwa walikuwa wanapata SUPORT KUBWA ya toka CHINA na USSR kipindi hicho

zipo MOVIE zaidi ya 10 based on true story kilichowakuta WAMAREKANI vietnam
ni moja kati ya VITA ambazo hawawezi sahau kabisa na hawatarudia tena huo upuuzi
hii ndio VITA iliyosababiaha mpk JFK kudedishwa
 
Ahsante!! Kuna mdau hapo juu naona amepoteana
 
Chanzo cha hiyo vita ni nini bro?
kumbe hujui chochote Kuhusu VIETNAM mzee halafu unabisha movie sijui zimefanyaje

hivi unajua kwamba MAHALAMIA WAFARANSA ndio wakwanza kupigana na wavete baada kula kichapo ndo wakaja WAMAREKANI nao wakala KICHAPO
 
kumbe hujui chochote Kuhusu VIETNAM mzee halafu unabisha movie sijui zimefanyaje

hivi unajua kwamba MAHALAMIA WAFARANSA ndio wakwanza kupigana na wavete baada kula kichapo ndo wakaja WAMAREKANI nao wakala KICHAPO
Ha ha ha

Mahalamia❌
Maharamia✅
 
Jidanganye kwa stories za vijiweni mkishiba mihogo na chachandu. Jidanganye tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…