Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology!
Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI.
Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana
Imani ya kutumia mbinu zote ulizonazo.
Najua wajuaji watabisha ila NIAMININI MM! Kati ya vitu hatari duniani ni kupoteza iman.
Mifano:
Nani alijua Marekani ingeshindwa na Vietnam??
Nani alijua Hamas leo bado watakua hai wanajipanga kukinukisha tena ( mi siyo shabiki wa hili kundi n mfano)
Nani alijua Marekani na Soviet zingeshindwa afghastan nani??
Nani alijua kama Korea Kasikazini ingewashinda Marekani na Korea kusini pamoja na maelfu ya mabomu.
Ama nani alijua kama Fidel castro wa nchi ndogo kama pilitoni Cuba angewashinda marekani kwa miaka yake yote.
Mifano ni endless
Nani alijua hayo!!
NAKILI KUSEMA JESHI LA KONGO NI DHAIFU KWASABABU LIMEKOSA IMANI MORALI NA HALIJITOI KWA KILA KITU KISHINDA.
Blue Lee kutoka china Mtaalam wa Kung fu duniani aliwai kusema:
“HAPA DUNIANI NAMUOGOPA MTU MMOJA TU, YE ALIYETAYARI KUTOA KILA KITU ILI KUSHINDA”
Kweli waasi wanaingia mjini na mabasi raia wanaangalia Hamna hata kuvamia gari kwa mawe mapanga na kila siraha.
Hamna hata wakujilipua bomu hapo kufa na waasi mia.
Wakongo mmetuangusha sana