Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

Nchi siyo ya mama Yako hii ngedere wewe!!
Safi sana Mkuu!
Kuna vitu tunatakiwa kuvielewa ili tusijichanganye!
Kuna mazuri mengi sana Mama Samia anayafanya Tanzania ila pia kuna mabaya mengi anayafanya, hilo sio suala la kupingana nalo. Kuna vitu hawezi kuvifanya Rais mzawa wa Tanganyika ndani ya Ardhi ya Zanzibar. Mfano tu, Kuingia makubaliano yoyote ya kimkakati baina ya Serikali nyingine kwenye vitega uchumi vya moja kwa moja vya Zanzibar.
Ila kwa Tanganyika anaweza! tena bila kupingwa kwa sababu ni mteule.
 
Ingawa wewe ni Chawa promax
Ila kwa namna Moja huna HOJA
ingawa hiyo ishu ya polisi kumekamata sikubaliani nayo ila

Vijana wengi wa CHADEMA haswa mdude na malisa Wanakuwa na HOJA nzuri na za mashiko haswa
Ila Wana LUGHA chafu sana
Mtu yoyote mstaarabu na anayejielewa hawezi kuwasuport kwa utovu wa nidhamu kwa Lugha za maudhi ingawa Wanakuwa na HOJA nzuri

Ninamkubari sana YERICK0 Huwa anajua anachoandika haswa anapokosoa jambo Huwa anatumia HEKIMA zaidi na utoa hata ushauri

Sasa mfano kama maneno haya hapa
Alikikosa namna nzuri ya kuwasirisha HOJA
au ilikuwa sifa dah
 
Mdude yuko sahihi, ni ngumu sana kutetea viongozi wenye IQ ndogo!!.
Tz kwa sasa akili ndogo inaongoza akili kubwa!
 
Vip hawa watu wanaotekwa na kupotea kila siku halikuumizi mkuu
 
Vip hawa watu wanaotekwa na kupotea kila siku halikuumizi mkuu
Uchunguzi unaendelea lakini wengine ndio hao wanafanya maigizo ili wajipatie pesa kutoka kwa familia zao.unakumbuka Abdul NONDO wa Act Wazalendo amewahi kujiteka na kwenda kujificha huko Iringa?
 
Akili ya Mdude inaonyesha dhahiri namna alivyo kosa malezi ya wazazi wake.ni mtu mwenye matatizo katika mfumo wake wa fahamu.
 
Ungekuwa wa maana kama ungeongelea pesa iliyochotwa BOT chini ya usimamizi wa huyo Mzanzibari unayemwita rais wenu. 1.7 trion!
 
Uchunguzi unaendelea lakini wengine ndio hao wanafanya maigizo ili wajipatie pesa kutoka kwa familia zao.unakumbuka Abdul NONDO wa Act Wazalendo amewahi kujiteka na kwenda kujificha huko Iringa?
Tunazungumzia hawa watoto wanaoripotiwa kuibiwa kila siku. Unapataga uchungu nakulizungumzia kama hii stori yako ya mama
 
Ungekuwa wa maana kama ungeongelea pesa iliyochotwa BOT chini ya usimamizi wa huyo Mzanzibari unayemwita rais wenu. 1.7 trion!
Acheni upotoshaji na uzushi wenu hapa.pesa zipi zilizochotwa kutoka BOT? Soma ufafanuzi wa Mheshimiwa waziri wa fedha na siyo kuleta uongo wako hapa.
 
Utaishia kupiga kelele akina Msigwa wanakula Shavu.
 
Lucas, aliyopitia Mdude Nyagali Chadema yanatosha, hebu mfumbieni macho kwanza!
 
Kama unajua si mzima kwanini unataka dola idili nae?
 
Chadema wahuni wote, hawafunzi vijana wao hata jinsi ya kuongea au kuandika kwa busara au hekima au hata hoja kama wanayo inakosa mashiko sbb ya lugha chafu chafu wanayotumia kutukana viongozi mbali mbali, imagine hicho ndio Chama cha Siasa kina kuza vijana wao, shame on you..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…