Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kuna watu wanaishi kwa kuitwa machangudoa lakini hawajali kwa sababu kwa kazi hiyo ya uchangu wanaendesha maisha yao.

Sasa ukiwa Unalipwa mabilioni ya pesa na unathumiwa kuuza nchi na kujizolea mapesa na una madaraka lakubwa na sifa lukuki kwa familia na chama chako halafu unaogopa kutukanwa utakua ni mtu wa ajabu sana. Mungu anatukanwa sembuse mtu . Nabii Tito anautukana ukristo na Yesu na mama Yake Yesu na Adam Baba wa wanadamu wote na Hawa mama wa anadamu wote wanatukanwa sembuse nanihii huyu.

Usilazimishe mtu kupendwa na watu wote.

Mama yako kwa wengine ni bibi ,shangazi ,dada,shemeji na mke.

Mkuu wa majeshi ni heshima kubwa sana ya kijeshi lakini sio kwa raia.
Kwa raia ni mtumishi wao. Akifokewa na raia wake wanaomlipa anatakiwa ajitafakari na kujirekebisha na sio kuwatisha.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi huwwzi kuandika Jambo kwa kifupi? Unafanya tusiwe tunasoma mada zako mpaka mwisho. Jifunze johnbatist nadhani.
 
Ile post ya mdude niliisoma hadi nkatetemeka..😷😷
Nimeiscreenshot for uses ina near future.

Sijui kama watamuacha.
Screenshot_20240721-173523_1.jpg
 
Mdude Na matatizo makubwa sana kichwani mwake na siyo madogo kama unavyotaka kutuaminisha hapa.yule jamaa haja adabu kabisa. Ni mtu ambaye ameshaathirka kabisa na anahitaji msaikolojia kumsaidia kurejea katika hali ya ubinadamu. Kwani wewe kwa akili yako unaona Mdude ni mzima kichwani mwake?
Na huko kuathirika kwake ni sababu ya trauma ambazo nyie nyie watu wa serikali mlimsababishia. Si mbaya mkapambana na madhara mliyoyasababisha.
 
B
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
a
Basi tuhuma zako zote ni batili.

Kwa sababu umeweka upande wako tu hujatupa hata hayo matusi hata kwa dondoo.

Tutajuaje kuwa Mdude katukana na wewe umemsingizia tu?
Mwashambwa komaa utakumbukwa. Hata u-watchmen angalau.
 
Kama kweli tunashiriki democrasia basi voices kama za kina mdude nyagali, maria tsehai, Mwabukusi tunaziihitaji ili.kuwe na checks and balances.

Ukiwa wewe ni.mtumishi wa umma hutaki kusemwa basi achana na utumishi. Lakini kama amekosea kisheria basi sherua itumike sio kutekwa kutumike apate stahili yake.

Binafsi namuelewa sana mdude kwa madhila aliyopitia ya kuteswa na mamlaka lazima awe na loose screws kichwani. Ukipitia profile ya mdude lazima ukubali kwamba he has brass balls kucheza na Mtawala kama magufuli.
Mdude sio mwoga kama wewe Lucas anaongea anachojisikia kiwe kinafurahisha au akifurahishi
 
Na huko kuathirika kwake ni sababu ya trauma ambazo nyie nyie watu wa serikali mlimsababishia. Si mbaya mkapambana na madhara mliyoyasababisha.
Mdude alikosa malezi ya wazazi wake .hata yeye mwenyewe alishasema hilo.Amejikulia bila uangalizi na malezi mazuri ndio maana unaona hayupo sawa na ni kama mgonjwa kichwani
 
Kama kweli tunashiriki democrasia basi voices kama za kina mdude nyagali, maria tsehai, Mwabukusi tunaziihitaji ili.kuwe na checks and balances.

Ukiwa wewe ni.mtumishi wa umma hutaki kusemwa basi achana na utumishi. Lakini kama amekosea kisheria basi sherua itumike sio kutekwa kutumike apate stahili yake.

Binafsi namuelewa sana mdude kwa madhila aliyopitia ya kuteswa na mamlaka lazima awe na loose screws kichwani. Ukipitia profile ya mdude lazima ukubali kwamba he has brass balls kucheza na Mtawala kama magufuli.
Mdude sio mwoga kama wewe Lucas anaongea anachojisikia kiwe kinafurahisha au akifurahishi
Tofautisha ukosoaji na Matusi .anachofanya Mdude ni matusi ambayo mwenye akili Timamu na anayejitambua hawezi kumuunga mkono hata kidogo
 
Pepo mchafu amekuvaa.
Huyo ni pepo mchafu anakutawala.
Baada ya kumshindwa kwa hoja pepo mchafu anawasumbua .
Pepo mchafu amekuzingira
 
We hujajua chama kimewafanya wanachama chuma ulete wakiona account zimekauka huwa wanaanza kutukana kila mtu ili wakamatwe wapate sababu ya kuomba michango dawa ni kuwaacha hivyo hivyo bila kuwakamata
 
Ukitaka kuelewa maneno na hoja za Mdude kwanza kabsa nenda kaoge uondoe uchovu kisha sikiliza kila sentensi kwa umakini, kila silabi! Tengeneza mazingira kuwa hauelewi yaani awe mwalimu wako! Kwa dakika 10 tu utajikuta umefunguka katika mambo mengi sana!
 
Back
Top Bottom