Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

Siku wakimuua utalipa hii dhahma, siasa sizikutoe utu
 
Uhuru ukizidi ni utumwa,
Naamn sasa kuongoza nchi unatakiwa uipende nchi kuliko dini na Sheria zake,
Uongozi lazima uwe mkatili kiasi Fulani Ili heshima iwepo
 
Huo moyo uendelee kukuuma zaidi ukifikia kiwango cha kukuua litakuwa jambo la kheri kwa Watanganyika.
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Udhalilishaji ni huu, hospitali ya Serikali kugoma Kutoa mwili wa marehemu Hadi pesa ya mwisho itakapolipwa.
 
Labda umeathirika kifikra na uongozi uliopita wa hayati JPM, ambao ubabe ubabe ulikuwa ndiyo utaratibu wa kawaida na siyo kufuata sheria.

Udhalilishaji unahitaji tafsiri za kisheria tu ili ueleweke kuwa ni udhalilishaji na siyo kudhani. Jeshi letu la polisi linalo nafasi na uelewa wa hilo na litachukua hatua linapoona inafaa.

Hii nchi ni yetu sote, ni vizuri kuepuka kuchochea kuwepo kwa uongozi wa nchi wa kibabe, na kuugeuza kuwa ni utaratibu wa kawaida.

Athari zake, siku kukiwa na Rais asiye wa upande wako, itakuwa ni zamu yako kufanyiwa ubabe usio na tija. Siasa ni kuwa na ngozi ngumu.

Labda leo, Samia akiongoza nchi kwa ubabe hakuna kitu kitabadilika kwa upande wako, na unaweza usioni hata athari za uongozi wa kibabe.

Lakini, kwa kuwa wewe ni binadamu mwenye akili timamu, jipe kihisia nafasi ya kuwa upande tofauti na uliopo, halafu upime ubora wa maoni yako.

Ova
 
Lucas are you real gentleman?. Acha Ku assume unajua Sana na unaushawishi sn, IGP unampagia kiwango cha kutekeleza majikumu yake. IGP sio mwana siasaa kama wewe unaendesha na mihemko ya K-LADIES...
Kwa hiyo unaona sawa lugha chafu zinazotumiwa na Mdude Nyagali kwa Mheshimiwa Rais? Ungekuwa ni wewe ingefurahi? Unaona ndio ukosoaji unavyokuwa hivyo?
 
Mdude hana impact yoyote na ni mtu aliyekata tamaa ambaye hana cha kupoteza. Akivuka mipaka vyombo vya usalama vitadili naye.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pole Kijana, lakini siasa ndivyo zilivyo tunamshauri mama yenu awe mvumilivu tu.

Kama vile msigwa amekaribishwa ccm na kupewa airtime kumtukana mbowe na chama chake.
Kwa kuwa Haki iko upande mmoja mbowe kakaa kimya

Dogo raisi katukanwa, lakini mwenyekiti wa cdm katukanwa zoaidi
 
..kwanini msimnunue ahamie Ccm na aanze kutumika kutukana viongozi wa Chadema?

..kulalamika kwa Polisi kunajenga picha kkwamba Ccm mmeshindwa kupambana na Mdude kwa hoja.
Silalamiki wala sipingi ukosoaji bali napinga na kukataa matumizi ya matusi na lugha za udhalilishaji kwa Mheshimiwa Rais na mtu mwingine yeyote yule.Mdude ni mtu aliyekosa adabu kabisa.
 
Pole Kijana, lakini siasa ndivyo zilivyo tunamshauri mama yenu awe mvumilivu tu.

Kama vile msigwa amekaribishwa ccm na kupewa airtime kumtukana mbowe na chama chake.
Kwa kuwa Hali iko upande mmoja mbowe kakaa kimya

Dogo raisi katukanwa, lakini mwenyekiti wa cdm katukanwa zoaidi
Ni lazima tukatae ni kuupinga utamaduni wa kutumia matusi kwa kichaka cha demokrasia
 
Labda umeathirika kifikra na uongozi uliopita wa hayati JPM, ambao ubabe ubabe ulikuwa ndiyo utaratibu wa kawaida na siyo kufuata sheria.

Udhalilishaji unahitaji tafsiri za kisheria tu ili ueleweke kuwa ni udhalilishaji na siyo kudhani. Jeshi letu la polisi linalo nafasi na uelewa wa hilo na litachukua hatua linapoona inafaa.

Hii nchi ni yetu sote, ni vizuri kuepuka kuchochea kuwepo kwa uongozi wa nchi wa kibabe, na kuugeuza kuwa ni utaratibu wa kawaida.

Athari zake, siku kukiwa na Rais asiye wa upande wako, itakuwa ni zamu yako kufanyiwa ubabe usio na tija. Siasa ni kuwa na ngozi ngumu.

Labda leo, Samia akiongoza nchi kwa ubabe hakuna kitu kitabadilika kwa upande wako, na unaweza usioni hata athari za uongozi wa kibabe.

Lakini, kwa kuwa wewe ni binadamu mwenye akili timamu, jipe kihisia nafasi ya kuwa upande tofauti na uliopo, halafu upime ubora wa maoni yako.

Ova
Tunahitaji ukosoaji na uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao lakini siyo uhuru wa kudhalilisha wengine kwa kimvuli cha kusema ndio democrasia yenyewe.
 
Siku wakimuua utalipa hii dhahma, siasa sizikutoe utu
Kwa hiyo kwamba unafikiri kuna mwanadamu mabaya hata kufa hapa Duniani? Au unamtisha nani hapa? Watanzania ni lazma tukatae kabisa matumizi ya matusi na udhalilishaji kwa Wengine kwa kigezo kuwa ndio ukosoaji wenyewe.
 
Silalamiki wala sipingi ukosoaji bali napinga na kukataa matumizi ya matusi na lugha za udhalilishaji kwa Mheshimiwa Rais na mtu mwingine yeyote yule.Mdude ni mtu aliyekosa adabu kabisa.

..tuwekee ushahidi wa Mdude kutukana.

..Mdude ni mjenga hoja, na muandishi mzuri, kuliko vijana na wazee wengi mlioko Ccm.
 
Tunahitaji ukosoaji na uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao lakini siyo uhuru wa kudhalilisha wengine kwa kimvuli cha kusema ndio democrasia yenyewe.
Zama za mwendazake ulikuwa wapi kijana?
Kulikuwa na maccm waliokuwa watukana na wanalindwa na Dola
Unakumbuka
1 musiba??
2 doto James
3 makonda
4. Sabaya?
Nikuwekee clip zao uwasikie wakitema kufuru
Nadhani mrekebishe kwanza nyumbani kwenu hapako vizuri
 
..tuwekee ushahidi wa Mdude kutukana.

..Mdude ni mjenga hoja, na muandishi mzuri, kuliko vijana na wazee wengi mlioko Ccm.
Tangia lini Mdude akawa na uwezo wa kujenga hoja? Kama unaona Mdude ni mjenga hoja basi utakuwa na tatizo kubwa sana
 
Lucas Lucas Lukas ww ni mpuuzi kama huyo mamaenu mnaempa sifa za uongo. Ww ni njaa tu inakusumbua. Ndio maana upo tayari kulamba viatu vya mabwana zako ili upate ugali wa chama. Narudia tena ww na huyo mama yenu na chma chenu wote ni mbwa kabisa
Naona umejaa mihemuko na kukosa kabisa busara na ndio maana umeishia kutukana tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hiyo unamfundisha kazi IGP si ndio maana yake?
 
Back
Top Bottom