Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
 
kamari hairuhusiwi.kwa binadamu yyte yule sema matamanio ya watu tuu ila kamari ni HARAMUUUU.
 
Back
Top Bottom