aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Nov 27, 2021 #1 Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Nov 27, 2021 #2 Kamari kwa watoto hairuhusiwi.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 27, 2021 #3 Mshuza2 said: Kamari kwa watoto hairuhusiwi. Click to expand... Na uzi ufungwe,
M Mwakyeja JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 675 Reaction score 454 Nov 27, 2021 #4 aka2030 said: Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki? Click to expand... kila timu itavaa TU gsm kama maji isipo kunywa utayaoga
aka2030 said: Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki? Click to expand... kila timu itavaa TU gsm kama maji isipo kunywa utayaoga
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,221 Reaction score 22,496 Nov 27, 2021 #5 Sportpesa ni kampuni ya kamari na kamari hairuhusiwi kwa watoto either kuicheza au kuitangaza.
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 3,380 Reaction score 5,906 Nov 28, 2021 #6 kamari hairuhusiwi.kwa binadamu yyte yule sema matamanio ya watu tuu ila kamari ni HARAMUUUU.