Hivi kwanini uzi wa mshangazi ulifungwa jana maana me nililala!Kuna nyuzi zinafurahishaga sana humu
Aliandika nini?Hivi kwanini uzi wa mshangazi ulifungwa jana maana me nililala!
ule uzi una mambo ya ny3ge sana ule wa jana 🙂Aliandika nini?
Mimi sijauona nitajie hata kichwa chake kilikuwa kinasemaje?ule uzi una mambo ya ny3ge sana ule wa jana 🙂
Ucheki hapo juu 🙂Mimi sijauona nitajie hata kichwa chake kilikuwa kinasemaje?
Hapo juu wapi?Ucheki hapo juu 🙂
hapa Binti Sayuniiule uzi una mambo ya ny3ge sana ule wa jana 🙂
Kuna viuchokozi vinaongeza hamu, msisahau kuwachokoza wawape mavituz kwa raha na furaha
Nimeenda huko duh! Uzi ni wa moto sana, naona Moderators wamefungia kureply
Noma sana [emoji91]Nimeenda huko duh! Uzi ni wa moto sana, naona Moderators wamefungia kureply
Mimi ni mdada wa kike🙊Noma sana [emoji91]
Hivi wewe ni mdada,binti wa makamo, au mshangazi?
haha 😀 kwani kuna mdada wa kiume!Mimi ni mdada wa kike
Kuna siku watu walikuwa wananiambia mimi wa kiume🥲 nilisikitika sanahaha 😀 kwani kuna mdada wa kiume!