Kwanini JF ikufanyie confusion, we ione tu kama therapy! Kuna scenarios humu za kutosha🤣

Pamoja ndege kuwa na amani
 
Binti Sayunii nilikua nimekutag babes, ila reply zilivyoendelea nikakutoa maana nikaona nisije kuwa nakuvunjia heshima.

Alikuja Nusratt, akalipua uzi wote, kila aliyekua kwenye ile thread alinyegeka kisawa sawa 😂 😂 😂
Heshima ipi niliyonayo humu mie😁😁😁 siku nyingine usiogope kunitag
 
Mambo ya nyege yamefutwa, sijawahi kuona mods wanafuta replies 100 ila jana imetokea 😂 😂 nimeenda kulala, nimeamka zimefutwa toka 400 mpaka 300 na uzi umefungwa 😂😂😂.
Uzi kama wa jana ungekua weekend angalau ungedumu moderator wangeuacha. Kuna msela wetu moderator ametutonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…