Kwanini JF ikufanyie confusion, we ione tu kama therapy! Kuna scenarios humu za kutosha๐Ÿคฃ

Watu wa humu ndani wana mfumo wao wa kipekee wa maishi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukija kichwa kichwa unaweza waona kama wajinga kumbe wewe ndo mjinga
Nawe unaenda kama mjinga kumbe mnachezeana akili. Ukiwa huku lazima uwe na akili kama ya Will Gamba au Joram Kiango๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ