Kwanini Jf imejaa member waoga ?

Kwanini Jf imejaa member waoga ?

Mimi sasa hivi nilishazima hata kamela yangu ya mbele


Hawa watu hawachelewi kutuhaiti hapa.

Hawajui tunajaribu angalau kumsaidia Melo kutuficha??

Hawajui kama hata gwanda za jeshi zimetawaliwa na kijani ili iwe rahisi kujificha vichakani!?


Utasikia futia kio cha simu yako kwa nywele na upige picha vidole gumba?


Sasa hivi tutazikimbia hizi simu za kugusa, make hawa ambao wanadumisha urafiki na mchina asee wanaweza fanya maajabu yao
Hahahhaa emu na mi nizime iyo kamera ya mbele,unaeza kutwa tunakenua hapa kumbe wanatuchora vizuri sana.

Turn off your location kabisa[emoji23][emoji23]
 
Unaweza mkuta member wa Jf anatumia mitandao mingine kama facebook,twiter na kwingine lakini kote huko anatumia jina lake halisi na ameweka hata baadhi ya taarifa zake wazi.
lakini unapokuja ndani ya himaya ya maGREAT THINKER wengi wao ni waoga hata kuweka majina yao au picha zao au hata kueleza walikosoma,wanakoishi au hata wanakopendelea kutembelea.
hapo bado utakuta member wengi siyo wanaopost labda thread za kutisha ama kukosoa serikali,lah.
KWANINI HAYO HUTOKEA AU KWA SABABU YA SHERIA YA Jf KURUHUSU FAKE ID ?
Wasiojulikana wamo humu.
 
Facebook mmekamata watu wengi mno, sasa mnajaribu kutega mitego hadi huku!!!!

Mkuu, mjaribu kutofautisha kazi zenu na utu wa mtu.
 
Back
Top Bottom