Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Hahahhaa emu na mi nizime iyo kamera ya mbele,unaeza kutwa tunakenua hapa kumbe wanatuchora vizuri sana.Mimi sasa hivi nilishazima hata kamela yangu ya mbele
Hawa watu hawachelewi kutuhaiti hapa.
Hawajui tunajaribu angalau kumsaidia Melo kutuficha??
Hawajui kama hata gwanda za jeshi zimetawaliwa na kijani ili iwe rahisi kujificha vichakani!?
Utasikia futia kio cha simu yako kwa nywele na upige picha vidole gumba?
Sasa hivi tutazikimbia hizi simu za kugusa, make hawa ambao wanadumisha urafiki na mchina asee wanaweza fanya maajabu yao
Turn off your location kabisa[emoji23][emoji23]