ila kna kitu kinanishinda ku PM, nimejaribu mara nyingi ila nashanga sipati reply, hata nikiangalia sent item yng haina k2, sa sielew sbb natumia simu ama cja master ktk ku pm, plzz msaada, sbb huwa napata shind personal so najarbu ku pm mtu nayemwona ana busara ila mwisho sifanikiwi. Hope umenielewa.Eshacky Nimependa insight umetupatia na nashukuru
umefurahia thread.. naona hapo kibonde nami niko kwenye
kundi hata kama nilikua sijajiunga.. i can't stand him!
Na hio topic...mmmh... sina la kusema!
Thank you for sharing...
Code:Mume wangu alikuwa akiingia(jukwaa la siasa) akikutana na thread interesting ananiita niisome,taratibu nami nikaanza kuingia kama guest na hatimaye nikajoin na kujikuta nimejichimbia huku.
Mume alip[enda jukwaa la siasa na wewe huku ulifikaje?
Code:BB napenda that Avatar saaana, but nilikua napata PMs kila siku nibadilishe, nilitia ngumu but eventually nikatoa... Naipenda ile cause mtu anashindwa kuimagine the way you are.... [COLOR=red]ya namna niliyoweka iko so misleading[/COLOR]....
In what ways????????
ila kna kitu kinanishinda ku PM, nimejaribu mara nyingi ila nashanga sipati reply, hata nikiangalia sent item yng haina k2, sa sielew sbb natumia simu ama cja master ktk ku pm, plzz msaada, sbb huwa napata shind personal so najarbu ku pm mtu nayemwona ana busara ila mwisho sifanikiwi. Hope umenielewa.
Ahsante sana Asha D. Mi nilibahatika kuwa kila siku natumiwa summary ya JF. Kwa sababu ya ushamba wa kutumia net, nilikuwa nashindwa kuingia na kuchangia. Wakati unadiscus na mshua mmoja, ndo akanielekeza jinnsi ya kuwa member. Tena siku hiyo nikapiga story ya Dreva kumewa na chatu wakati akijisaidia kichakani. Mwanangu tangu hapo JF ikashika kasi.
Sijui bila JF ningekuwa wapi??
mpenzi itabidi unipe number ya simu
nikueleze maana itanichukua 42/7
kuorodhesha kwa nini
hahahahah lol
Nijuacho nimekosa mume ajili ya JF mmmhh
AD,
Kuku huwa wanaingia ndani jua likizama bila kujali kama kuna mwanga au la....Usiwe na haraka ya kutimua kwa kukibia giza uchwara.....Naamini kumkosa mume kwa muda ndo anakuja hivyo!!
It is never too late.....!!
Mzee DC!
asha d na wanajf,ka sa hv nko kwenye kakitanda changu afta kakaz kangu ndo na2liza akili yangu kwenye hii mambo,cku hyo nashawishika kujiunga nliona chali angu pemben anakenua kenua kila mara asomapo kwenye cmu,nkataka jua why,si ndo ananichana kuwa kuna ki2 inaitwa jf,ukijiunga hutojuta,ama kweli huku ni nyumbani cwez juta kujiunga,mana nkitaka cheka nacheka,nkitaka kuwa serious nakua,na nkitaka kuumia hisia naumia,nkitaka mambo matamu najua ntapata wapi,real jf is hme of expresions
mmhh
mzee DC naona umenianzia tena kuhusu mume
mie sitafuti na kama umesoma nilivyojibu utaona nimesema
natania ...
Asante kwa maoni lakini..
Mimi nilikuwa natafuta kitu kwenye google nikaangukia JF, nilipojaribu kutoka nikashindwa. Yaani kama mtu aliyepita karibu na mzinga wa nyuki akapiga miayo halafu kwa bahati tu asali ikadondokea mdomoni, Atatema? Naipenda nimehama kabisa FACE BOOK.
Usijali mdogo wangu,
Ni matatizo ya uzee...Kila kitu tunakiangalia kwa jicho la 1947!!!
Kheshima yako bado iko
pale pale haita pungua labda
itaongezeka zaidi.. Nakumbuka ulinikaribisha
nikakuita babu sasa umezeeka zaidi tunakuita Mzee..
Na Uzee, Mzee kwangu mimi ni maneno mengine ya kusema
busara, hekima na uelewa.. kwa hiyo usijali kabisa Mkuu
Uzee wako ni faida kwa wengi ..
Kheshima yako bado iko
pale pale haita pungua labda
itaongezeka zaidi.. Nakumbuka ulinikaribisha
nikakuita babu sasa umezeeka zaidi tunakuita Mzee..
Na Uzee, Mzee kwangu mimi ni maneno mengine ya kusema
busara, hekima na uelewa.. kwa hiyo usijali kabisa Mkuu
Uzee wako ni faida kwa wengi ..
huwa napenda sana majibu yakoCode:Kheshima yako bado iko pale pale haita pungua labda itaongezeka zaidi.. Nakumbuka ulinikaribisha nikakuita babu sasa umezeeka zaidi tunakuita Mzee.. Na Uzee, Mzee kwangu mimi ni maneno mengine ya kusema busara, hekima na uelewa.. kwa hiyo usijali kabisa Mkuu Uzee wako ni faida kwa wengi ..
- umri wako utaongezeka sana.kwa kuheshimu wa wazee....................keep it up...............TO OTHERS..................ila kuwaheshimu haimaanishi uwamegee........la hasha...........................................hapo utakuwa umewakosea adabu kabisa na siku zako hapa duniani zitapungua maradufu