Habari wana JF woote na familia yoote ya MMU
.
Nina exactly 46 days toka nisikie kuhusu Jamii Forums na 45 days toka nijiunge
. Kila siku inapopita nafurahia na kuappreciate uamuzi wangu wa kuamua kujiunga katika JF na kua mmoja wa GT.. Nimepata marafiki wengi, Chat mates, PM mates, admirers na non admires, Knowledge katika kila sphere kama habari, urafiki, mapenzi, utani, elimu, sheria, siasa, entertainment e.t.c. And most importantly nimepata exposure kubwa saana in a lot of things
.
Sababu kubwa ilinifanya kujiunga ni baada ya kusikia mmoja wa viongozi wetu akilalamika kua Jamii Forums ina chafua na kuharibu image ya serkali as well as Chama cha magamba
. (Namshukuru Mungu kila siku kwa huyo Leader kuipromote mpaka nikasikia) Hio ilinipush ni google kutaka nijue ni kitu gani, then nikaenda moja kwa moja kwenye International forum ambapo nilikutana na thread ambayo nilitaka saana nichangie sababu nilikua against na mtu alokua ametuma hio Thread (in fact alikua Rutashubanyuma) who ironically turned out to be one of my friends sasa
I had to register hapo hapo!
From that moment kila kitu kilifuata mkondo hadi when I found my home in MMU a week later
Cha ajabu kilichonifanya nijiunge sio kinachonifanya nibaki saizi
. Napenda every fun and activity I do while in JF, napenda watu behind the Avatars na above the Signatures, napenda the challenges I meet (ndo maana siasa hua nakimbia
), napenda kua watu wako huru kujiexpress regardless of age or gender, napenda kua kuna variety of topics and forums, Hio ikisukumwa na watu ninaowasiliana nao na kubadilishan mawazo katika uzi mbali mbali
.
Naamini kila mmoja ana sababu tofauti ingawa nyingine zaweza fanana.. wewe kama member wa JF naomba mchango na mawazo yako ni kwanini au nani alikusukuma na kukushawishi uweze kua moja wa member wa JF ukitaka/kubali kua GT
Asha D.
Pamoja Sana.
Masikini Libabu la watu halikujua kwamba kufanya vile halijamchafua Maxence hata kidogo, badala yake amei-advertize JF Bureeeeee!
Natamani na wale MAPACHA WATATU wa magamba aka RAECEL nao watoe vesi lao. Hii italitangaza JF mpaka vijijini ili hata Babu yangu nikimpelekea Nokia kali aweze kutoa mauzoefu yake wa kule Lupata, Manow, Mpanda, Lwangwa n.k.
Honestly kwa mimi hakuna PUSH kubwa kama ya Asha D iliyosababisha niingie humu. Mi ni expert wa Telecommunication, na imetokea nimebobea sana ktk kazi za Software na IT tangu nilivyoanza kuipenda nilipokuwa form 4.
Mwanzoni nilipokuwa najifunza nilikuwa nakesha kabisa mtandaoni mpaka nasahau kabisa kula. Mwaka 2002 mobile companies hazikuwa internet providers kama sasa, so ikawa inanilazimu kwenda internet cafe. Nilikuwa nimejiunga na Social Networks kibao. Let me mention few:
Marafiki.com
Darhotwire.com (Hasa kwenye ile chat ya DHW CHAT ambayo ipo
DHW CHAT | darhotwire)
Tagged.com
hi5.com
Badoo.com
Tuonane.com
Nikawa na Emails za Hotmail, Yahoo na Google
Kipindi hicho Facebook, twitter, JF zilikuwa bado kabisaaaaaaaaaaa
So nilijiunga JF mara ya kwanza Dec 2010 baada ya kuiona ktk google (sijui nilikuwa na-search nini ndo nikakuta nilichokuwa natafuta pia kipo JF). Baadae ndo nikaamua kufungua nyingine Jan 2011 kwa jina la CPU.
Na afrodenzi ndo alikuwa mrembo wa kwanza kunikaribisha humu, nilikuwa nimevaa mabuti ya kishamba, alinipenda nikampenda, tukapendana.
Nilikuwa simpendi Lizzy balaa, tangu nilivyoanza kumuona
🙂biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1
🙂