Kwanini JF?

Kwanini JF?

Afadhali nimejua......!
Thanks partner for this veeeeery usiful thread!

We jana si ulinitingisha kiberiti, eti unani-test kama nitakupigania . . .
Sasa naku-test wewe unaanza kuwa mbogo
:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Wewe nae kwani hilo ndo kauliza Asha D??

Mie kuna rafiki yangu aliniadd bila mimi kujua nikawa napata reminder kwenye email kuwa we have missed you ..........................nikaamua kuanza kuchangia

Dena thankyou for sharing... na asante kwa kulinda uchakachuaji wa TF.... lol
 
Nilijua ipo, kuingia kwangu kulitokana na upweke niliokuwa nao nikiwa huko maporini (Mpanda-Rukwa). Nikasukumika kuingia na mpaka leo sibanduki humu.

Nashukuru Mungu sijawahi kukutana na mtu humu ila HESHIMA na UPENDO vinachukua nafasi yake. Mungu Ibariki JF na watu wake.

AMEN
 
Asha,awali ya yote ngoja kwanza nikumwagie misifa mitatu muhimu:
1. Unajituma. Kukandamiza mi post zaidi ya alfu mbili ndani ya siku 45 si mchezo mwanawane.Wengine tuko humu toka 2008 hata post alfu moja hatuna.
2. Unathamini mamemba. Siku 45 umemwaga mi senks zaidi ya mia nne,si haba.Mi likes ndo usiseme,kwa niaba ya ma memba wenzangu woooooote pokea li senks na li likes hilooooooooo mmmmwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
3. U msikivu. Iko siku niliku PM nikakushauri kitu na kwa unyenyekevu ukafuata ushauri wangu,wakati na ku PM nilidhani ungenibararusha si unajua tena mambo ya 'kupotezea'?
Ndugu Asha baada ya utangulizi huo naomba nirejee kwenye mada. Nakumbuka kuna siku nilikuwa napata supu asubuhi maeneo ya Kinondoni. Kipindi hicho ndo issue ya ufisadi wa meremeta imepamba moto.Basi bwana mmoja hapo kijiweni akawa anamsifia mtu anaitwa Mwanakijiji kuwa huyo jamaa kwa kuporomosha mabomu Lyatonga Mrema cha mtoto.Nikamuuliza Mwanakijiji ni nani?,akanishangaa kweli na kuniuliza 'we humjui Mwanakijiji?' nikamwambia simjui,akasema ingia website inaitwa JamiiForums utakutana naye. Nikaingia na kwa kuwa lengo lilikuwa kumsoma Mwanakijiji moja kwa moja nikagota jukwaa la siasa,mwanzoni nilichangia sana tu pale hadi nilipoanza kusikia kizunguzungu nikiingia humo, nikaona mmmhhh nitadata bure ndo nikatafuta jukwaa jingine.Naomba nikiri kuwa toka niingie MMU roho yangu imekuwa bariiiidi na siku ikipita sijaingia naona ka vile ntaumwa.Nawashukuru sana wana MMU kwa michango yenu na kikubwa zaidi namshukuru..........ambaye tumefahamiana humu MMU (mambo ya PM) hadi kuuuuuuu.........
Wasalam,
Wako mwaminifu,
Bishanga Abashaija.
 
Tunafurahi kuwa nawe hapa JF Asha D, busara zako ni nzuri sana ila uwe unatutembelea na kule kwetu Tech, Gadgets & Science Forum

Nashukuru for the compliment umenipa .... Chamoto hio forum hua natinga saana tu but kuchukua majibu na ku upload na update... Naona inapowezekana nitakua nachangia... thank you:A S-rose:

Unajua nini Asha,
kuna wakati mtu unakuwa na mambo yako ya ndani sana,very personal!
na unajikuta huna mtu wa kushea nae at least uweze kupunguza ile tension,
na kupata relief kidogo,Nadhani kwa upande wangu msukumo ulianzia hapo, baada ya marafiki kujaribu, kuniconvice na kujistify presence yao hapa JF, BASI NAMI NIKASHAWISHIKA.
Kiukweli i never regret to be part of the team,
Kila siku ni sikukuu, na wakati mwingine unajuta ni kwanini ulichelewa kuingia JF,
LONG LIVE JF......

I feel what you are saying na napenda that you have good friends walo kupush in one way or another... pamoja saana Bacha..:A S-rose:

Binafsi nachukia saana mambo ambayo serikali yetu inafanya ya kuonea wananchi, hivyo katika mazungumzo kuna mtu sikumbuki ni nani wala sijui ID yake akanipa adress ya JF. Naona malengo yake yalikuwa mazuri nimeweza kuiwasiliana na members mbali mbali na kupata mrafiki wengi wenye mawazo kama ya kwangu. Ubarikiwe mwanzisha thread hii!!!!!!!!!

Yoote uloongea hapa hasa kuhusu serkali yetu hii ni kweli kabisa.... wananchi tunatambua kua tunaonewa lakini hatuna guts za kuface na kupingana na serkali, ninachofurahi ni kua JF imeprovide hilo hivyo naamini iko siku our confidence ita rise na tutaweza onesha our true IDs and negative feeling towards the serkali...

Asante kwa baraka ulizo niombea... may the Lord give them to you too...:A S-rose:

Ilkuwa kwa bahati mbaya tu,nilikuwa na google picha fulani nikakuta link ya jf.kufungua nikaambiwa siwezi iona bila ya kuwa member nikajiunga nikaicheki picha alafu nikasahau kuhusu jf.juzi wakati wa ajali ya wale wasanii wa taarabu morogoro nikakuta tena link ya jf kwenye google wakati natafuta picha za ajali hile,since then am addicted to this forum

Thank you for sharing and am happy kua you are one of my fellow members...:A S-rose:

Miye nilijiunga kutafuta mke, bahati mbaya mpaka leo hii sijapata 🙁

Stevie D mke utapata, tatizo you are doing it the wrong way...
STRATEGIES....
Relax kwanza ki malengo ya mke na akili
Jiachie tu kwa kuwa member na kuenjoy
Usiwe na haraka wala papala
If you are serious kwa hilo members hasa wadada
wasijue kuepusha kuchakachuliwa....
eventually utampata with focus na utulivu
WISH YOU ALL THE BEST katika hilo and looking forward kulaikwa harusi...:A S-rose:
 
Asha,awali ya yote ngoja kwanza nikumwagie misifa mitatu muhimu:
1. Unajituma. Kukandamiza mi post zaidi ya alfu mbili ndani ya siku 45 si mchezo mwanawane.Wengine tuko humu toka 2008 hata post alfu moja hatuna.
2. Unathamini mamemba. Siku 45 umemwaga mi senks zaidi ya mia nne,si haba.Mi likes ndo usiseme,kwa niaba ya ma memba wenzangu woooooote pokea li senks na li likes hilooooooooo mmmmwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
3. U msikivu. Iko siku niliku PM nikakushauri kitu na kwa unyenyekevu ukafuata ushauri wangu,wakati na ku PM nilidhani ungenibararusha si unajua tena mambo ya 'kupotezea'?
Ndugu Asha baada ya utangulizi huo naomba nirejee kwenye mada. Nakumbuka kuna siku nilikuwa napata supu asubuhi maeneo ya Kinondoni. Kipindi hicho ndo issue ya ufisadi wa meremeta imepamba moto.Basi bwana mmoja hapo kijiweni akawa anamsifia mtu anaitwa Mwanakijiji kuwa huyo jamaa kwa kuporomosha mabomu Lyatonga Mrema cha mtoto.Nikamuuliza Mwanakijiji ni nani?,akanishangaa kweli na kuniuliza 'we humjui Mwanakijiji?' nikamwambia simjui,akasema ingia website inaitwa JamiiForums utakutana naye. Nikaingia na kwa kuwa lengo lilikuwa kumsoma Mwanakijiji moja kwa moja nikagota jukwaa la siasa,mwanzoni nilichangia sana tu pale hadi nilipoanza kusikia kizunguzungu nikiingia humo, nikaona mmmhhh nitadata bure ndo nikatafuta jukwaa jingine.Naomba nikiri kuwa toka niingie MMU roho yangu imekuwa bariiiidi na siku ikipita sijaingia naona ka vile ntaumwa.Nawashukuru sana wana MMU kwa michango yenu na kikubwa zaidi namshukuru..........ambaye tumefahamiana humu MMU (mambo ya PM) hadi kuuuuuuu.........
Wasalam,
Wako mwaminifu,
Bishanga Abashaija.

Hiyo bluu naunga mkono hoja hata mimi imenitokea huwa mmmhhhh hapana

Hiyo red naomba umalize sentensi
 
Kwa upande wangu,mimi kuna rafiki yangu aliniambia kuhusu jf,nikajiunga,yah nimepata kujua mengi kidogo but naendelea kujifunza!
 
Back
Top Bottom