Kwanini JF?

I joined JF because I love this Country; and ikibidi kusafiri kidogo, with JF you can stay in touch with Tanzania no matter where you go or for how long you go... Unapo rudi, unakuta mambo yako pale ulipoyaacha when you last logged in JF. Iwe kwa posts, iwe kwa PM, or even kwa kusoma tu interactions zangu na fellow member, mods, admin etc.
I was introduced to JF by my husband. He is still a regular member, but not very active poster.
NImefurahi kusoma watu waliochangia kabla yangu ila kuna ambao niliona ni lazima niwanukuu...

mimi sikumbuki ilikuwa vipi but kuna article ya blue ray kuhusu jk
inaitwa kikwete na haiba isiyo na sababu
duhhhhhhh
niliposoma hiyo article nikajiunga siku hiyo hiyo
pia na daudi balali na scandals zake
(coughing)

Russian Roulette says thank you for the usefull post!
Hapo bold nilitaka kuigeuza signature but it was too long...

:lol: :lol: :lol:
To some extend you were right, kule ni balaa. lolest
 

as i speak yumo humu,..yuko addicted,..ofisini hafungui excel kabla hajafungua jf..lol..
 
JF bwana!nishaanza kuhisi AshaDii ni USALAMA,..watu tuko paranoid humu..yani mtu anafanya karesearch kake watu tunaanza kumuogopa..no harm AshaDii,iam tryna speak my disturbed mind but little louder.
 
as i speak yumo humu,..yuko addicted,..ofisini hafungui excel kabla hajafungua jf..lol..

Care to introduce him to me.... I don't bite....lol

JF bwana!nishaanza kuhisi AshaDii ni USALAMA,..watu tuko paranoid humu..yani mtu anafanya karesearch kake watu tunaanza kumuogopa..no harm AshaDii,iam tryna speak my disturbed mind but little louder.

Usiogope bana.... Nikiwa usalama si ndo niko kukulinda you don't even have to be disturbed... Or maybe I don't get nini hasa kimekudisturb? :eyebrows:
 
Care to introduce him to me.... I don't bite....lol



Usiogope bana.... Nikiwa usalama si ndo niko kukulinda you don't even have to be disturbed... Or maybe I don't get nini hasa kimekudisturb? :eyebrows:

may b u can pm me...disturbed?iam good now,..happens all the time,job stress like meeting deadlines,but it's all good in my hood..
 
may b u can pm me...disturbed?iam good now,..happens all the time,job stress like meeting deadlines,but it's all good in my hood..


Jamani do I really have to pm you kwanza? You know jamvini is spacious na pm a bit suffocating sometimes....lol

I like the fact kua uko appreciative of blue with a factual justification in red.
 
Binafsi kuna jamaa alinipa hint za hii Forum sio zamani saana nadhani between 2010&2011 hasa kipindi cha uchaguzi!!!! Nikaregister nakaanza kuenjoy uhondo wa JF kama Member!!! TENA ARUSHA WAKALETA STAREHE NYINGINE YA KUFAHAMIANA, KUBADILISHANA MAWAZO LIVE NA KUSAIDIANA WEE ACHA TU JF CHIBOKO!!!!!!!! Ubarikiwe AshaDii!!!

 
Duh Mkuu DHW ulikuwa unatumia nick Gani? Dah Long time ile duh! mule tulikuwa tunatupiana news kutoka jambofourums na blog nyingi tu kule kulikuwa kama ni kituo cha matangazo, tatizo tulikuwa wavivu au hatukupenda kuregister...nakumbuka nilishawahi register ila sikumbuki nick niliyotumia manake nilikuwa bingwa wa kuchange nick! unachat hadi unaona hakuna raha zaidi ya ile live chat uchngu huja pale watu wakianza ku flood.. DHW ikalala Tukahamia Jambochat nayo ikandei sasa hii jamiiforums sielewi why hakuna jamiichat wala jamii music wala jamii radio! i don't know why! si jambo forum tulipata news imekuwa jamiiforums!
 
Jamani mimi nimejiunga mwaka jana mwezi disemba wakati ambao kila nikienda kwenye internet cafe ya pale karibu na nyumbani yule aliyekua anasimamia pale kila siku yuko jf nikasema website gani hiyo inamfanya huyu mtu asijihusishe na fb? Nikaingia na kukuta majukwaa ya kutosha bila kupoteza muda nikajisajili.
Vipi wewe mwanajamvi mwenzangu ulijiungaje au ulijuaje mpaka ukajiunga
 
Hivi unapoanzisha thread huoni pale wanapo kupa option ya kucheki kama similar topic zimesha anzishwa?
cha kushangaza hiyo thread ya somo wangu bado iko active na watu wamechangia hata leo!
 

I hope umechangia walau 10000/= kuiwezesha JF
 
Mie niliambiwa na rafiki


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mambo Vp Leo nimeona tujadil mchango wa jf kwenye maisha yetu

Naomba kila mtu atakayejisikia aseme kipi kilimvutia na kuamua kujiunga na jf na lin yaan mwaka gan wewe umejiunga. Na had sasa unatumia jf ukiwa wap

Unaweza kutoa tathimin yako kuhusu jf imechangia nin katika maisha yako na je unajisikiaje hata ukiwa mikutano je huwa unajitambulisha na kuwa proud like my Pascal Mayalla alinionesha ujasili kujitambulisha akiwa pale white house na mkuu wa nch

Wazo la kutumia user name hiyo unayotumia ulipata wap had unatumia Leo

Je ni jambo gan huwa Lina kufanya unajisikia ufahari kuwa member wa jf

Na huwa unajisikiaje kuhusu siku ukikosa kuingia jf

Kwa mtazamo wako unazan jf ina mchango katika katika Tz na ukanda wa afrika mashariki na kat

Jambo gan huwa linakukera na ungependa lifanyiwe mabadiliko au maboresho ili kuboresha mijadala na kuwavutia watu wengi zaid wazid kujiunga na jf

Kama mtumiaji wa jf na kwa ufahamu wako unaweza kutoa mawazo yako ili kufanya jf iwe yenye nguvu zaid na ikiwezekana isambae mataifa mengi ulimwenguni na kuongeza wigo wa mijadala ndani ya jf. Una kipi cha kuwashaur waanzilishi wa jf

Mwisho una jambo gan Ungependa kushaur kuhusu serikal katika kutumia mitandao hii ya ki jamii katika kuhamasisha shughuli za maendeleo nchini

Asante karibun
 
ingekuwa vizuri sana ungeanza kujibu hayo uliyouliza tupate format ya kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…