AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
- Thread starter
- #421
Nlikuwa na mastress cku hyo nkawa narud narafk yangu toka kazn.
akawa busy na cm yake anacheka,akanishamishi kuwa naingia tangu cku hyo ni msomaji wa kla cku humu ndani.
Naona maeneo ya kazi ndio yameshika hatamu kwa watu kuijulia JF....
Nafurahi tupo woote na THANKS for sharing....lol