Kwanini JF?

Kwanini JF?

I have been there ....
I know you r contemplating on Dalai Lama ... ? Is he linked to Gandhi ... The one with your past sig?
Hope you r ok??
Hi AJ. I am fine thank you. Mzima wewe?
I am 'following' His Holiness on google plus, so when I saw this speech on his updates I immediately thought of you.
His attendance to that ceremony was almost an apology kwa kucheleweshwa visa by the SA government.
The Association that was presenting the award is from SA. Si unajua Bapu Gandhiji alihishi huko sana?
 
Hi AJ. I am fine thank you. Mzima wewe?I am 'following' His Holiness on google plus, so when I saw this speech on his updates I immediately thought of you. His attendance to that ceremony was almost an apology kwa kucheleweshwa visa by the SA government. The Association that was presenting the award is from SA. Si unajua Bapu Gandhiji alihishi huko sana?
I was really surprised to see the clip ... Nikasema how did you come to know and get it? Because on the priviouse discusion among all the group you did mension this! Me Mzima...!
 
nashukuru kwa kulifahamu hilo na ndio maana mie naongea lolote siogopi BAN kwasababu mie ni babu lao,hata Russian Roulette jina langu hawezi kuliban kwasababu hawezi kuliona,lol.Nalog off

Unatakiwa uniheshimu kuliko maelezo usinipige ban wala usifute post zangu mpaka unakufa,lol.Nalog off

baada ya kujiunga na JF nikaenda jela kama miaka 3,ndio iliyoniharibia timing zangu.Nalog off

Wee Kiboko! lol.... Thank you for sharing Washawasha....
 
Mi mimi nilijiunga kwa sababu ya kupenda siasa lakini kwa sasa Naichukia siasa, nawachukia wanasiasa na hakuna ninayemwamini katika wanasiasa wote ni WANAFIKI.

Pole saana Gazeti.... Uzuri hapa JF kuna forums nyingi na za kufurahisha... Kule mahala kule hakufai kabisa yaani... Enways the Gret thing ni kua you are among wana JF..... Thank you for sharing...
 
Nilikutana na rasta diwani wa chadema aliyekimbizwa alinihamasisha sana na mtandao huu,sijui mdudu gani alimuingia maskini

How do you feel baada ya kujiunga... hasa ukizingatia umekutana na Excellent hapa hapa (I presume..lol) Have you ever regretted? Hata hivo Kabakabana nafurahii saana kua tuko woote hapa.
 
How do you feel baada ya kujiunga... hasa ukizingatia umekutana na Excellent hapa hapa (I presume..lol) Have you ever regretted? Hata hivo Kabakabana nafurahii saana kua tuko woote hapa.

no,i have never ever regretted being here,i usualy feel happy even when am troubled!
We are so connected ts like a family,, many challenges and greater knowledge its so good!
 
Niliwahi kujiunga ikiwa jamboforums,sikuwa naingia mara kwa mara. Wakawa wanatuma email mbona huonekani mpaka wakachoka.Ndiyo nikaingia kwa fujo mwaka jana! Hapa unapata kila kitu kiukweli. JF still untouchable!
 
no,i have never ever regretted being here,i usualy feel happy even when am troubled!
We are so connected ts like a family,, many challenges and greater knowledge its so good!

You are rite about that dear.... Every drop of your sentence! Tuombe tu uzima tuzidi onana again and again and again.
 
Niliwahi kujiunga ikiwa jamboforums,sikuwa naingia mara kwa mara. Wakawa wanatuma email mbona huonekani mpaka wakachoka.Ndiyo nikaingia kwa fujo mwaka jana! Hapa unapata kila kitu kiukweli. JF still untouchable!

Trachomatis... Thank you for sharing.... Na naamini tutawa woote kwa mda mrefu.... Kama ulivosema ulijiunga kwa fujo hivo naona hata committment itakua kwenda mbele!
 
Mimi nilianza kuijua Jf toka enzi ya jambo forums na kikubwa kilinivutia ni kupata habari na uchambuzi kutoka kwa wadau mbalimbali. Kwa kweli habari nilizopata humu unaweza usipate kwenye chombo cha habari chochote hapa bongo, hasa zile za jukwaa la siasa na intelegensia. Habari ambayo haijapita kufanyiwa 'editing' kupunguza mengine ambayo yanachukuliwa 'eti kuhatarisha usalama wa taifa'
 
JF ina mambo mengi saana ambayo huwezi kuyapata kokote and on time!!!! Ila naomba mamodarator wawe makini ili tusije ingia mtego mpaka tukafungiwa!!!!!!!! Naona kuna watu wa dola wanafutilia saana hii jamii forum labda kwa woga wa kupoteza vitumbua vyao, hii ni kama weak leaks ya ulaya. Tuko pamoja kwa saana!!!!!!!!!!

mimi nimeijua wakati wa EPA 2007,bro alikuja na print out ya mafisadi ya BOT aliyoitoa JF,nikawa naingia kama guest kusoma posts because kipindi kile nilikuwa chuo na ukileta mchezo unasema na sup za kutosha...napenda hiki kiwanja sababu nimepata knowledge ya kutosha tofauti na mitandao mingine ya kijamii.
 
Habdavi.... I envy woote ambao husema walikua hapa toka enzi za Jambo forums, nyie ndio hasa mmeona thewa way ilikua the way imekua na hopefully the way itakua. Nimeshangaa lakini for your join date is a late one... Najiuliza ni ID nyingine, uliuondoka ukarudi ama miaka yoote hii ulikua kama guest? lol.... Enways nafurahi kua tupo woore hapa. Hopefully tutazidi onana katika threads mbali mbali hapa jf... Pamoja saaana.
 
JF ina mambo mengi saana ambayo huwezi kuyapata kokote and on time!!!! Ila naomba mamodarator wawe makini ili tusije ingia mtego mpaka tukafungiwa!!!!!!!! Naona kuna watu wa dola wanafutilia saana hii jamii forum labda kwa woga wa kupoteza vitumbua vyao, hii ni kama weak leaks ya ulaya. Tuko pamoja kwa saana!!!!!!!!!!

Mtumishi wetu.... Hii habari ya kufungiwa nishawahi isikia..... I can not imagine. Hata hivo nakubaliana na maneno yako... Ni kweli hapa kuna habari za kila namna ziwe kwenye archives ama ziwe katika updated news.... Ushindwe mwenyewe tu. Hata hivo mbona wewe personally hujagusia ni kitu gani hasa kilikusukuma? lol ....
 
........wayback from jambof then nikapotelea vichakani na sasa ni hapa.

Your join date in relation to your number of posts.... Inashabihiana kabisa na maneno yako katka hii post..... Dah! Hivi inakuaje.... Ni kwamba ulikua watembelea tu na kusoma michango bila kupost kitu ama una alternative ya kuchangia?
 
mimi nimeijua wakati wa EPA 2007,bro alikuja na print out ya mafisadi ya BOT aliyoitoa JF,nikawa naingia kama guest kusoma posts because kipindi kile nilikuwa chuo na ukileta mchezo unasema na sup za kutosha...napenda hiki kiwanja sababu nimepata knowledge ya kutosha tofauti na mitandao mingine ya kijamii.

Kwa habari ya hapa na pale.... Inaonesha hicho kipindi ni wengi saana walivutiwa na kujiunga. Naona hapa inatakiwa tumshukuru bro kwa kuku expose mahala hapa na kukufanya utake uwe part of JF.... Nafurahi kua tuoko woote hapa and we are both members... Thank you for sharing... Vipi kakako bado ashiriki?
 
AshaDii, in 2010 mwanzoni JF ilikua na members kama 20 000, leo, 2 years later we are almost 60 000 members. Investigate there.
 
Back
Top Bottom