Kwanini JF?

Kwanini JF?

Nlikuwa na mastress cku hyo nkawa narud narafk yangu toka kazn.
akawa busy na cm yake anacheka,akanishamishi kuwa naingia tangu cku hyo ni msomaji wa kla cku humu ndani.

Naona maeneo ya kazi ndio yameshika hatamu kwa watu kuijulia JF....

Nafurahi tupo woote na THANKS for sharing....lol
 
asante sana dada asha.
ubarikiwe sana sana big sisy wangu.

Shukrani zaidi ziende kwako Dearest....
Kwa kutufanya tuwe siblings hapa JF.

Do take care.
 
Jamani Kipipi hembu share basi.... alafu usijali ujumbe kwa Cantalisia utafikishwa na mapalachichi yatakuja.

Kwakweli yasipokuja namgaya mwaka mzima, mwambie kabisa!! Alafu.....dah!! Hivi sikuwahi kuchangia huu uzi eeh?? Ngoja kwanza nisome!
 
Hahahaha,
Heri ya mwaka mpya Kipipi,
Zawadi ipo tatizo nawe ulipotea sana,
Nitumie namba yako ili nikutumie parachichi kwa MPESA lol!

Mie natumia TTCL, we ukirudi tu au kama umesharudi nielekeze niyafate!!! Hahahah alafu ka new year kako mwake kabisa, sijawahi kununa tangu kameanza.....lol! This time mie kupotea muhimu japo mara moja moja, mambo yako tight sana kadadaa!!!
 
mie huku alinileta Maxi na mwenzeie Mushi baada ya kukutana nao kule kwenye Chat room ya Darhotwire,kwahiyo walipoanza kuitangaza forum yao wakaniomba nijiunge nao,nami bila kinyongo nikajiunga na ndio mpaka leo bado naliendeleza libeneke.Nalog off
 
Unajua Washawasha siku notice siku zooote hizi kua ni wa kiitambo namna hio... Leo hii ndio nime observed join date yake.... Hongera bana, nimependa the way umejiunga, imenipa insight na idea of how JF was when it was being established na nguvu za Melo na Mushi katika kuiweka sawa na kuipromote. Thank you for sharing..... Pamoja Saaana.
 
Hata mimi nilikua sijawahi kusoma alijiunga lini. shame on me! lol
 
I think alichelewa kuleta Brand yake ya "nalog off" lol
Roulette I have missed you... Saaana.... :sad:
Miss you too darling, nakuja. Namaliza leo alafu nakuja unipe habari zoooooote. In the mean time ningependa usome tena ile thread ya UTU unambie unaonaje speach ya Dalai Lama (2,5 min peke yake). Nalog off (source: washawasha, lol)
 
Mie nilifata Madem tu humu basi, hamna lingine!

Hongera saaana Said Ally.... Siku chache zijazo utafunga mwaka hapa JF.... Mpaka sasa umefanikiwa kupata? And if YES umefanikiwa kupata wangapi? lol
 
Unajua Washawasha siku notice siku zooote hizi kua ni wa kiitambo namna hio... Leo hii ndio nime observed join date yake.... Hongera bana, nimependa the way umejiunga, imenipa insight na idea of how JF was when it was being established na nguvu za Melo na Mushi katika kuiweka sawa na kuipromote. Thank you for sharing..... Pamoja Saaana.

nashukuru kwa kulifahamu hilo na ndio maana mie naongea lolote siogopi BAN kwasababu mie ni babu lao,hata Russian Roulette jina langu hawezi kuliban kwasababu hawezi kuliona,lol.Nalog off
 
Mi mimi nilijiunga kwa sababu ya kupenda siasa lakini kwa sasa Naichukia siasa, nawachukia wanasiasa na hakuna ninayemwamini katika wanasiasa wote ni WANAFIKI.
 
pole kwa kuchelewa kulijua hilo.Nalog off
 
Nilikutana na rasta diwani wa chadema aliyekimbizwa alinihamasisha sana na mtandao huu,sijui mdudu gani alimuingia maskini
 
Miss you too darling, nakuja. Namaliza leo alafu nakuja unipe habari zoooooote. In the mean time ningependa usome tena ile thread ya UTU unambie unaonaje speach ya Dalai Lama (2,5 min peke yake). Nalog off (source: washawasha, lol)

I have been there ....

I know you r contemplating on Dalai Lama ... ? Is he linked to Gandhi ... The one with your past sig?

Hope you r ok??
 
Back
Top Bottom