Kwanini JF?

Wewe nae kwani hilo ndo kauliza Asha D??

Mie kuna rafiki yangu aliadd bila mimi kujua nikawa napata reminder kwenye email kuwa we have missed you ..........................nikaamua kuanza kuchangia
Unajua usiku wa kuamkia leo nimekuota tulikuwa wote Saayo
 
Unajua nini Asha,
kuna wakati mtu unakuwa na mambo yako ya ndani sana,very personal!
na unajikuta huna mtu wa kushea nae at least uweze kupunguza ile tension,
na kupata relief kidogo,

Nadhani kwa upande wangu msukumo ulianzia hapo, baada ya marafiki kujaribu,
kuniconvice na kujistify presence yao hapa JF, BASI NAMI NIKASHAWISHIKA.

Kiukweli i never regret to be part of the team,
Kila siku ni sikukuu, na wakati mwingine unajuta ni kwanini ulichelewa kuingia JF,
LONG LIVE JF......
 
Mimi hata sijui nilifikaje hapa, nilishitukia tu nimedondokea humu kwenye kila aina ya elimu!
 
Binafsi nachukia saana mambo ambayo serikali yetu inafanya ya kuonea wananchi, hivyo katika mazungumzo kuna mtu sikumbuki ni nani wala sijui ID yake akanipa adress ya JF. Naona malengo yake yalikuwa mazuri nimeweza kuiwasiliana na members mbali mbali na kupata mrafiki wengi wenye mawazo kama ya kwangu. Ubarikiwe mwanzisha thread hii!!!!!!!!!
 
Nilipoona JUKWAA LA WAKUBWA nikajiuliza ni wakubwa gani wanaenda kule, labda wakubwa walioko Serikalini:dance::dance::dance::biggrin1::biggrin1:
 
Ilkuwa kwa bahati mbaya tu,nilikuwa na google picha fulani nikakuta link ya jf.kufungua nikaambiwa siwezi iona bila ya kuwa member nikajiunga nikaicheki picha alafu nikasahau kuhusu jf.juzi wakati wa ajali ya wale wasanii wa taarabu morogoro nikakuta tena link ya jf kwenye google wakati natafuta picha za ajali hile,since then am addicted to this forum
 
Miye nilijiunga kutafuta mke, bahati mbaya mpaka leo hii sijapata 🙁

Endelea kuomba Mungu....Labda anayetafuta mume hajajiunga....Ila unaweza kuanza kampeni nyingine ya kuipigia debe JF ili akina Asha D wengi wajiunge...The more the sample size....uwezekano wa kupata even by chance utazidi kuwa mkubwa!
 
Miye nilijiunga kutafuta mke, bahati mbaya mpaka leo hii sijapata 🙁

Hamna wanawake wenye vigezo vinavyotosheleza au vidole ZEGE?!?!

Partner mi nlikua natafuta tafuta blogs/website za kibongo nikakutana na JForum.Nakumbuka nlijiunga lakini hata nlikua sisomi wala sichangii...sikuona kama kuna mshiko!Nadhani mwanzoni mwa mwaka jana ndo nilianza kusoma na kuchangia...ntapitia post zangu nikumbuke nini haswa kilinisukuma kuanza kuchangia na kuandika humu!!
 
gggggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! red hapo!
 
Asha D acha tu, mimi nilipigwa kibuti zile stress zikanifanye nigoogle 'kwa nini mapenzi' nikakutana na uzi upo JF kwa kweli nilifarijika sana nilivyousoma nikaamua kujiunga kabisa siku hiyo hiyo, since then sijabanduka hapa, LONG LIVE JF
 

Masikini Libabu la watu halikujua kwamba kufanya vile halijamchafua Maxence hata kidogo, badala yake amei-advertize JF Bureeeeee!

Natamani na wale MAPACHA WATATU wa magamba aka RAECEL nao watoe vesi lao. Hii italitangaza JF mpaka vijijini ili hata Babu yangu nikimpelekea Nokia kali aweze kutoa mauzoefu yake wa kule Lupata, Manow, Mpanda, Lwangwa n.k.

Honestly kwa mimi hakuna PUSH kubwa kama ya Asha D iliyosababisha niingie humu. Mi ni expert wa Telecommunication, na imetokea nimebobea sana ktk kazi za Software na IT tangu nilivyoanza kuipenda nilipokuwa form 4.

Mwanzoni nilipokuwa najifunza nilikuwa nakesha kabisa mtandaoni mpaka nasahau kabisa kula. Mwaka 2002 mobile companies hazikuwa internet providers kama sasa, so ikawa inanilazimu kwenda internet cafe. Nilikuwa nimejiunga na Social Networks kibao. Let me mention few:

Marafiki.com
Darhotwire.com (Hasa kwenye ile chat ya DHW CHAT ambayo ipo DHW CHAT | darhotwire)
Tagged.com
hi5.com
Badoo.com
Tuonane.com
Nikawa na Emails za Hotmail, Yahoo na Google

Kipindi hicho Facebook, twitter, JF zilikuwa bado kabisaaaaaaaaaaa
So nilijiunga JF mara ya kwanza Dec 2010 baada ya kuiona ktk google (sijui nilikuwa na-search nini ndo nikakuta nilichokuwa natafuta pia kipo JF). Baadae ndo nikaamua kufungua nyingine Jan 2011 kwa jina la CPU.
Na afrodenzi ndo alikuwa mrembo wa kwanza kunikaribisha humu, nilikuwa nimevaa mabuti ya kishamba, alinipenda nikampenda, tukapendana.
Nilikuwa simpendi Lizzy balaa, tangu nilivyoanza kumuona 🙂biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1🙂
 
MMU ni nini?
Kwa nini Jamii Forum? Hapa Jamii Forum tunajadili mambo tofauti;politicis,economics,everything. Sisi siyo wataalamu,wengi wetu siyo wataalamu,yaani experts with degrees and all that. Lakini tukijadili namna hii itamwezesha mtalaamu kutusaidia,kusahihisha wrong views,kuongeza ufahamu wetu kuhusu somo,kuona ufahamu wetu ni kiasi gani na wao wanahitaji kufundisha kiasi gani. Kama vile ambavyo College wanafunzi wanaweza kujadili mambo,halafu baadaye lecturer anaweza kafafanua.
 
Wewe nae kwani hilo ndo kauliza Asha D??

Mie kuna rafiki yangu aliniadd bila mimi kujua nikawa napata reminder kwenye email kuwa we have missed you ..........................nikaamua kuanza kuchangia
za siku shem? umetupa jongoo na mti wake?lol!
 
Nilikuwa simpendi Lizzy balaa, tangu nilivyoanza kumuona 🙂biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1🙂

Afadhali nimejua......!
Thanks partner for this veeeeery usiful thread!
 
Reactions: CPU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…