Kwanini JF?

Kwanini JF?

Code:
It took ten minutes for this old mind of mine to get what 
you meant and still not sure i have it rite... ushari
please next time andika walau in full
I thank your lovely Broda (??)
 
Thank you for sharing..

No answer means he is not sure why he is in JF after all these years.......................and to be exact it is march 08th 2011...............what a wonderful stay..maybe he needs more time to figure out why he is in it too.................
 
You just had to make me laugh...
 
There are currently 24 users browsing this thread. (16 members and 8 guests)
We bana badilisha hii ID unanipa kiu, unanitia vishawishi mchana mchana bwana badala ya kuagiza maji nishushie msosi naweza jikuta naagiza hii makitu halafu ikawa balaa, halafu hiyo baridi ulivyoiremba lol mubaya sana wewe

Mhhh! Maty! haya Mkuu! viglass viwili kushushia msosi si mbaya tena RUKHSA! ukizidisha shauri yako! ukirudi kazini utaanza kuona duble duble lol!

YouTube - ‪DOUBLE DOUBLE ( Nyboma les kamales dynamiques)‬‏
 
Asha we...umeamkaje! umeuliza kwa nini wa2 wamejiunga JF na majibu mengi yametolewa..
Ila napenda kukuambia tu, sababu ya mimi kuingia JF asubuhi yote hii ya leo ni kuona post zako...umeamkaje me dia!??
 
Asha D,

Mbona mimi hukunikumbusha kuweka mambo wazi ya jinsi nilivyoingia kwenye addiction ya JF????

Nitarudi baadaye kidogo, ngoja nikawaamshe wajukuu kwanza!!

Mzee DC
 
Habari yako Mentor....

Pole saana rafiki maana nikiangalia siku ulojiunga JF kwa ajili yangu hadi
leo hii ni kitambo kidogo, natumai hukukata tamaa na ulizidi amka each morning
kama kawa....lol... enways... enjoy....
 
Asha D,

Mbona mimi hukunikumbusha kuweka mambo wazi ya jinsi nilivyoingia kwenye addiction ya JF????

Nitarudi baadaye kidogo, ngoja nikawaamshe wajukuu kwanza!!

Mzee DC

Habari yako Mkuu DC....

Naona toka ulitoa ahadi ya kurudi ... hujarudi maana the date
inaniambia ni nyuma kidogo... au nawewe ulikua haupo jamvini...lol..
Malizia ahadi yako basi...

enjoy...
 
mi chama cha magamba ndo kilinishawish nione kunanini huku!~?
 
Habari wana JF woote na familia yoote ya MMU….

Nina exactly 46 days toka nisikie kuhusu Jamii Forums na 45 days toka nijiunge …. Kila siku inapopita nafurahia na kuappreciate uamuzi wangu wa kuamua kujiunga katika JF na kua mmoja wa GT.. Nimepata marafiki wengi, Chat mates, PM mates, admirers na non admires, Knowledge katika kila sphere kama habari, urafiki, mapenzi, utani, elimu, sheria, siasa, entertainment e.t.c. And most importantly nimepata exposure kubwa saana in a lot of things….

Sababu kubwa ilinifanya kujiunga ni baada ya kusikia mmoja wa viongozi wetu akilalamika kua Jamii Forums ina chafua na kuharibu image ya serkali as well as Chama cha magamba…. (Namshukuru Mungu kila siku kwa huyo Leader kuipromote mpaka nikasikia) Hio ilinipush ni google kutaka nijue ni kitu gani, then nikaenda moja kwa moja kwenye International forum ambapo nilikutana na thread ambayo nilitaka saana nichangie sababu nilikua against na mtu alokua ametuma hio Thread (in fact alikua Rutashubanyuma) who ironically turned out to be one of my friends sasa… I had to register hapo hapo!

From that moment kila kitu kilifuata mkondo hadi when I found my home in MMU a week later… Cha ajabu kilichonifanya nijiunge sio kinachonifanya nibaki saizi…. Napenda every fun and activity I do while in JF, napenda watu behind the Avatars na above the Signatures, napenda the challenges I meet (ndo maana siasa hua nakimbia…), napenda kua watu wako huru kujiexpress regardless of age or gender, napenda kua kuna variety of topics and forums, Hio ikisukumwa na watu ninaowasiliana nao na kubadilishan mawazo katika uzi mbali mbali….

Naamini kila mmoja ana sababu tofauti ingawa nyingine zaweza fanana.. wewe kama member wa JF naomba mchango na mawazo yako ni kwanini au nani alikusukuma na kukushawishi uweze kua moja wa member wa JF ukitaka/kubali kua GT…

Asha D.
Pamoja Sana.
hv hii ni nn?
 
hv hii ni nn?

Mchaka mchaka tokana na ukweli kua JF ina forums nyingi saana zikigusia kila sector ya maisha..
Almost yoote I believe.. kuna zile ambazo GT wengi huchagua/hujikuta wanavutwa zaidi kuliko zoote,
Moja ya hizo forums ni MMU - ambayo pia ina wale members ambao hata wapite wapi ni lazima wakariport
pale for they feel more comfortable and to their liking....

MMU - Ni forum ya Mahusiano, Mapenzi na Urafiki...
Kama si mpenzi saana waweza tu hata jihusisha kwa kupitia
ushauri wa watu mbali mbali kuhusiana na maisha yetu halisi...

:focus:

Baada ya hayo machache, naomba tujuze (if you don't mind..)
Why ulivutiwa na JF....
 
Habari yako Mentor....

Pole saana rafiki maana nikiangalia siku ulojiunga JF kwa ajili yangu hadi
leo hii ni kitambo kidogo, natumai hukukata tamaa na ulizidi amka each morning
kama kawa....lol... enways... enjoy....
Asha D.......missed u! how'v u bin???
 
Habari yako Mkuu DC....

Naona toka ulitoa ahadi ya kurudi ... hujarudi maana the date
inaniambia ni nyuma kidogo... au nawewe ulikua haupo jamvini...lol..
Malizia ahadi yako basi...

enjoy...

Mhhhhh...Asha wangu,

Nimekamatika ndugu yangu....Nikikumbuka siku nyingine nitakuja....Sasa hivi napita tu!
 
Mhhhhh...Asha wangu,

Nimekamatika ndugu yangu....Nikikumbuka siku nyingine nitakuja....Sasa hivi napita tu!

ha ha ha.... DC... I understand it is an early Monday....
Me nitakua patient hata a week ipite mradi umalize your kipolo....
 
I have been good, pretty busy but good.
Missed you too... how have you been pia??
Never the same without ur posts..u know dat princess,
u made my heart go wory-wory- wit ur sudden silence.
 
Never the same without ur posts..u know dat princess,
u made my heart go wory-wory- wit ur sudden silence.

ha ha ha....

Mentor that is a compliment i bliv... Thankyou..
I hope you heart is now beating calm calm calm...
 
Back
Top Bottom