Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Kwa kweli kwa mtazamo wangu kweli JK anastahili kuzabuliwa makofi... kwa sababu huwezi kumwambia mwenzako afanye yale yale ambayo wewe unashindwa kuyafanya... huo ni unafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You must be joking!
Elimu ipi hiyo unayoiongelea hapa, shule za kata?
Kuna kipindi katika historia ya nchi yetu tumeshuhudia kuporomoka kwa kiwango cha elimu kama wakati huu( utawala wa JK)? Facts zipo wazi na mnazijua
Hakuna ukuaji wa demokrasia katika jamii ya watu wajinga popote pale chini ya jua, ukuaji wa demokrasia unaendana sambamba na ukuaji wa elimu ila hapa kwetu ni vice versa, (kwa mujibu wa maelezo yako at least)
Unajichanganya mwenyewe, mara demokrasia inakua mara ooh "vitendo vya kikatili vilivyo fanywa na vinavyoendelea kufanywa na dola yetu havikubaliki hata kidogo"
JK kafanya nini hasa kwenye huu mgogoro wa maziwa makuu mpaka apewe 'kudos'?
Au unadhani watu hawajui kuwa silaha zinazotumika katika mgogoro huu, asilimia kubwa tu zinapitia Tanzania hasahasa Mwanza?
Unakumbuka documentary ya mapanki na makala nyingine nyingi tu za watu wa UN na Human Rights zimeshapigia kelele kuhusu hilo, JK amechukua hatua gani?
Akose busara ndogo tu ya kuongea vizuri na watanzania wa Mtwara badala yake 'anawang'oa pembe', atayaweza wapi mambo yaliyowashinda kina Mandela na Nyerere.
..........hakuna sehemu niliyojichanganya........you are too much taken away na "Chadepolitics".....kuwa objective kidogo ndio utajua maana ya discussions.......
Chadepolitics ndio nini?
Sitaki kuamini kuwa umehishiwa na hoja sasa umeamua kuniattack mimi
Kushindwa kujadili hoja na kuhamishia mashambulizi yako kwangu ndio "kuwa objective"? Au ndio maana ya "discussions"?
Hakuna hoja ya kujadili na wewe..... kwani wewe ume-quote maandishi yangu na kuweka maelezo yako yasiyo relevant kwa nilichoandika.......
Siku hizi polarised articles kama hii nazo zinaqualify kwenye hili jukwaa?
Mh,polarised kwa mantiki ipi Dr?
Nadhani sababu haijagusa ulo yapenda,ndio ume generalise kuwa mada ni polarised!
wakuu michango yenu imesababisha nibadilishe msimamo wangu, kweli kauli ya JK hakupaswa kuitoa, naunga mkono hoja.
Unatakiwa kuangalia suala la mgogoro ndani ya Maziwa Makuu kwa jicho lingine.....hili suala ni zaidi ya JK unayemfahamu....ukichukulia kirahisi rahisi na hizi siasa zetu za kuitana dhaifu.....hutaelewa muktadha mzima wa mgogoro uliopo........it is deeper than most of the persons might think.......
Kwa kweli kwa mtazamo wangu kweli JK anastahili kuzabuliwa makofi... kwa sababu huwezi kumwambia mwenzako afanye yale yale ambayo wewe unashindwa kuyafanya... huo ni unafiki
Ningekuwa jk kwa kweli sikuona sababu ya ulumbana na kagame after all mwanzo alichotoa jk ni ushauri tuu sio lazima kuutekeleza ie lile la kukaa meza moja na waasi
...hili suala ni zaidi ya JK unayemfahamu....
.....waite Watanzania kitu kingine lakini sio unafiki........Watanzania si wanafiki.....
There are some developments on this issue and I wonder whether zumbemkuu will make another U-turn. Kwa akina Ogah na wengine mliokuwa mmefunga tela, kazi kwenu.
Some say "If you don't get it right the first time, back off and try it again". Probably, that is what our President has chosen to do.
But President should think twice. If he thinks he didn't get it right in the first time to the extent ya kutaka kusuluhishwa, what makes him think that he will get it right the second time? How did we get in this messy? Surely, this is embarrassing sie kuomba kusuluhishwa whilst we created the fuss ourselves.
Tanzania asks Uganda to help it mend ties with Rwanda
![]()
DAR ES SALAAM | Thu Aug 29, 2013 2:23pm EDT
(Reuters) - Tanzania has asked Uganda's president to help it patch up relations with Rwanda after a falling-out over Tanzania's efforts to bring peace to the war-torn Democratic Republic of Congo, Tanzania's prime minister said on Thursday. Tanzanian President Jakaya Kikwete said this month ties with Rwanda had soured after he said all nations involved in Congo peace talks, including Rwanda, should talk to rebel groups to end conflict in the troubled Great Lakes region of Africa.
That comment drew fierce criticism from Rwanda, where negotiating with Rwandan FDLR rebels is seen as unacceptable.
In 1994, Hutu soldiers and militiamen killed around 800,000 people in Rwanda, mostly Tutsis. Rwanda is now under a Tutsi-dominated government, and the FDLR rebels are a Hutu force.
"President (Kikwete) has asked the Ugandan President, Yoweri Museveni, to see how this matter can be resolved," Tanzanian Prime Minister Mizengo Pinda said in parliament when asked about how the government was dealing with the Rwandan issue.
Museveni, one of Africa's longest-serving leaders, now heads the East African Community trade block comprising Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi and Rwanda. Pinda said Rwanda had over-reacted to Kikwete's comments.
Relations between the two countries could be further strained by Tanzania's role in a new, robustly-mandated peacekeeping mission in eastern Congo.
Tanzania leads a newly-deployed U.N. intervention brigade in Congo's eastern region of Goma, where M23 rebels, a group of mostly Tutsi fighters widely believed to be backed by Rwanda, have been fighting the Congolese army and other rebel groups. Rwanda denies backing the insurgency.
Source: Tanzania asks Uganda to help it mend ties with Rwanda | Reuters
Ni kweli Mkuu. Sikufahamu kabisa kuwa JK angepiga U-turn kubwa hivyo. Sidhani hata kama wewe na wale wangine waliokuwa wamefunga tela nyuma walikuwa wanamfahamu kuwa wataachwa kwenye kilima bila breki.
Hapa Pinda mwenyewe kadhihirisha hapo juu jinsi tulivyo wanafiki. Nilisema tokea mwanzo kuwa "Tatizo hili suala linajadiliwa na watu wengi too emotionally, subjectively, and sometimes, irrationally".
Inawezekana kabisa baada ya Rais Kagame kuanza mizuka yake huko Kigali, Rais Kikwete kwa kufuata emotions, subjectivity na irrationality kwenye maoni ya Watanzania wengi labda alijikuta amechukua hatua ambazo baada ya kukaa chini na washauri wake kutakafari kwa kina kukuta alikosea somewhere kwenye move yake.
Kwa mfano, sidhani kama ilikuwa kitendo cha busara kumsimamisha Mkuu wa Majeshi kwenye jukwaa kule Kagera na kumtaka adhitibishe hadharani kuwa mipaka ya nchi ni salama. Akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu, Rais ndiye anaeweza kuwahakikishia wananchi wake kuwa mipaka ya nchi ni salama.
In fact, sijawahi kuona Rais wa nchi akimleta mkuu wake wa majeshi jukwaani na kumtaka awadhibitishie wananchi kuwa mipaka ya nchi iko salama. Vingenevyo, hii inaleta picha mbaya kuwa Rais haaminikini mbele ya taifa, kiasi cha kutaka mtu wa kudhibitishiwa na jeshi juu ya anachokisema. Rais ndiyo amiri jeshi mkuu wa majeshi yote and he should be able to tell us kuhusiana na usalama wa mipaka ya nchi.
Kama vile haitoshi Rais akaenda mbali zaidi kwa kuwafukuza wananchi wa Rwanda ambao walikuwa wanaishi nchini bila kibali, huku akiwaacha Wamalawi, Wakenya, Wahindi, Wachina, nk wanaoishi nchini bila vibali.
Wale Watanzania wanafiki wakaona Rais yuko sawa kabisa kuwafukuza wananchi wa Rwanda wasio na vibali na kuwaacha wale wa Kihindi wanaoishi Tanzania bila vibali. Lakini Watanzania hao hao wanalalama kila mara kuwa Wahindi wanaajiri Wahindi wenzao ambao hawana vibali vya kukaa hapa nchini. Watanzania wanafiki at their best.
Leo Rais kapiga bonge la U-turn anataka asuluhishwe na Kagame, Watanzania wanafiki waliokuwa wanamuunga mkono wanasema sijui "JK hakuna kitu pale ni janga tupu na udhaifu kwenda mbele", sijui "Mkuu unajua siamini nilicho sikia!", wengine "Nimebaki nasikitika tu, siamini kama nchi yangu haina Rais" na mwingine anadai kuwa "Hatuwezi kuwa na imani na Museveni. Msuluhishi ni lazima apate confidence ya pande zote" as if ni Kagame aliyeomba kusuluhishwa na Kitwete kupitia kwa Museveni na Kikwete hana confidence na Museveni.
Narudia tena: Kama tunakubaliana kuwa ushauri alioutoa Rais Kikwete kwa Rais Kagame haukuwa "dhaifu", basi tukubaliane hapa hapa kuwa Rais wetu siyo "dhaifu" na U-turn aliyoifanya na kuomba asuluhishwe na Rais Kagame kupitia kwa Rais Museveni haina "udhaifu" wowote. Vingenvyo, ni unafiki.
CC. SMU, TANMO, Njilembera, Ndahani, Mtu B, Awo, Ntemi Kazwile, zumbemkuu, Rutashubanyuma, MTAZAMO GAZETI, Mourinho, Myakubanga, Stefano Mtangoo mokala1989, Danny Jully, Bongolander
Leo Rais kapiga bonge la U-turn anataka asuluhishwe na Kagame, Watanzania wanafiki waliokuwa wanamuunga mkono wanasema sijui "JK hakuna kitu pale ni janga tupu na udhaifu kwenda mbele", sijui "Mkuu unajua siamini nilicho sikia!", wengine "Nimebaki nasikitika tu, siamini kama nchi yangu haina Rais" na mwingine anadai kuwa "Hatuwezi kuwa na imani na Museveni. Msuluhishi ni lazima apate confidence ya pande zote" as if ni Kagame aliyeomba kusuluhishwa na Kitwete kupitia kwa Museveni na Kikwete hana confidence na Museveni.
Narudia tena: Kama tunakubaliana kuwa ushauri alioutoa Rais Kikwete kwa Rais Kagame haukuwa "dhaifu", basi tukubaliane hapa hapa kuwa Rais wetu siyo "dhaifu" na U-turn aliyoifanya na kuomba asuluhishwe na Rais Kagame kupitia kwa Rais Museveni haina "udhaifu" wowote. Vingenvyo, ni unafiki.
Mkuu so far Rwanda imefanikiwa kuua mtanzania mmoja wa MONUSCO, lakini sidhani kama kuuawa kwa mtanzania mmoja ndio kumefanya JK apige u-turn, (kama kweli amepiga u-turn) as some people try to claim. Hii issue inashughulikiwa na MONUSCO.
Lakini the fact that PK is a destabilizing force in DRC is still there, and the fact that his attitude towards foreign countries with significant rwandese population is also worrisome, and a security concern to Tanzania. Sioni kama ni busara kuangalia issue hii kwa jicho la PK vs JK. It is much bigger than that.
Tulipowaruhusu Rwanda na Burundi kujiunga na EAC huku tukijua human rights record yao is appalling.........what were we thinking?
Mkuu naona Rwanda ni tatizo, Burundi haina tatizo kubwa. It was a big mistake, lakini kwa Kenya ni jambo zuri maana wao wako mbali.