figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi ya Edward Lowassa, Augustino Lyatonga Mrema, Filikunjombe nk?
Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini aliyekuwa Jaji Mkuu Mwaminifu aliyechukia ufisadi na kuwaweka Watanzania pamoja Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu badala ya Hayati?
Huyu baba alokufa kaacha alama gani ambazo zinaishi hadi aitwe Hayati?
Wabunge ffeki 19? Matibabu ya Lissu? Kuwakaondoa wabunge wa Upinzani ndani ya bunge? Kujiuzulu au nini?
Watanzania watamkumbuka huyu Mgogo kwa Lipi?
Kifo ni kifo tu