Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu?

Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu?

mimi sijasema kuwezi kutumia technology ya sasa, nimesema haiwezi kukufanya ukatumia commonsense - fahamu hivyo.

Maana yake ni kwamba AI itakupa majibu lakini wewe ndiyo utumie akili ya vippi yale majibu yanaweza kukufaidisha.
Wewe nimeona unanitaka,hebu njoo inbox basi mrembo
 
Angenyooka asingekataa mgombea binafsi kwenye full bench acha ujinga.

Mbaya zaidi bila aibu akaja kuchukuwa fomu kugombea Urais kupitia Ccm, hii nini maana yake?
Ndivyo wabongo tulivyo.
Judge a man by one mistake for all the good he has done in this country. Tunasahau sana.

A soldier who fought for his country.
A jurist who reformed its courts.
A priest who healed its spirit.

From the barracks to the bench, from Zanzibar’s Chief Justice at 32 to the Presidency of the African Court on Human and Peoples’ Rights, Judge Ramadhani stood unshaken in the pursuit of justice.

He dismantled unjust systems, built fair courts, defended human rights across Africa, and reminded us that integrity is not a career — it is a calling.

In his life, law and faith walked hand in hand.
In his legacy, courage and compassion speak as one.

Judge Augustino Ramadhani
1945 – 2020
"Justice without integrity is no justice at all."
 
Marehemu mara nyingi huwa akifa huacha madeni,Hayati akifa huwa anaacha mali.Tafuta hela ukija kuondoka kwenye hii dunia usije ukaambiwa umekufa..
Aisee noma sana nimecheka kinoma😂😁🤣
 
Back
Top Bottom