figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hakuna atakayekuchukulia hatua kwa kumuita “Marehemu Ayubu Ndugai”!Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi ya Edward Lowassa, Augustino Lyatonga Mrema, Filikunjombe nk?
Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini aliyekuwa Jaji Mkuu Mwaminifu aliyechukia ufisadi na kuwaweka Watanzania pamoja Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu badala ya Hayati?
Huyu baba alokufa kaacha alama gani ambazo zinaishi hadi aitwe Hayati?
Wabunge ffeki 19? Matibabu ya Lissu? Kuwakaondoa wabunge wa Upinzani ndani ya bunge? Kujiuzulu au nini?
Watanzania watamkumbuka huyu Mgogo kwa Lipi?
Kifo ni kifo tu
Huu ujinga nilianza kuuona kwa Lowassa kulazimishwa kumuita waziri mkuu mstaafu, wakati alijiuzulu kwa kashfa ya Richmond. Yale yale ya Samia kuitwa rais wa awamu ya sita, na sio rais wa sita awamu ya tano.Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi ya Edward Lowassa, Augustino Lyatonga Mrema, Filikunjombe nk?
Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini aliyekuwa Jaji Mkuu Mwaminifu aliyechukia ufisadi na kuwaweka Watanzania pamoja Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu badala ya Hayati?
Huyu baba alokufa kaacha alama gani ambazo zinaishi hadi aitwe Hayati?
Wabunge ffeki 19? Matibabu ya Lissu? Kuwakaondoa wabunge wa Upinzani ndani ya bunge? Kujiuzulu au nini?
Watanzania watamkumbuka huyu Mgogo kwa Lipi?
Kifo ni kifo tu
Tofauti ya Hayati na marehemu ni ipi mkuu?!!Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi ya Edward Lowassa, Augustino Lyatonga Mrema, Filikunjombe nk?
Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini aliyekuwa Jaji Mkuu Mwaminifu aliyechukia ufisadi na kuwaweka Watanzania pamoja Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu badala ya Hayati?
Huyu baba alokufa kaacha alama gani ambazo zinaishi hadi aitwe Hayati?
Wabunge ffeki 19? Matibabu ya Lissu? Kuwakaondoa wabunge wa Upinzani ndani ya bunge? Kujiuzulu au nini?
Watanzania watamkumbuka huyu Mgogo kwa Lipi?
Kifo ni kifo tu
Vipi tuchukulie rais Magufuli angekomea awamu ya 2015-2020,na baadae akaja rais mwingine baada ya uchaguzi tungesema vipi hapo!?. Yale yale ya Samia kuitwa rais wa awamu ya sita, na sio rais wa sita awamu ya tano.
Wangalau ingesaidia, sio kilichotokea kwa Samia.Vipi tuchukulie rais Magufuli angekomea awamu ya 2015-2020,na baadae akaja rais mwingine baada ya uchaguzi tungesema vipi hapo!?
Tofauti ya "Hayati na marehemu" niTofauti ya Hayati na marehemu ni ipi mkuu?!!
Kwan kunatofauti gani? Ya hayati na marehemu. Kwa mm ninavyo elewa na kamusi ya kiswahili hayo maneno ayana tofauti yeyote kama kuna anaye pinga aje na evidence.Ni vigezo gani vinatumika na Serikali ya Tanzania? Mtu akiwa Mwanasiaa hata kama kafanya mambo ya Hovyo anaitwa Hayati. Mfano Ndugai, kipi kinafanywa aitwe Hayati? Yaani kaitendea nini Nchi zaidi ya Edward Lowassa, Augustino Lyatonga Mrema, Filikunjombe nk?
Kwanini Job Ndugai Wanalazimisha tumuite Hayati lakini aliyekuwa Jaji Mkuu Mwaminifu aliyechukia ufisadi na kuwaweka Watanzania pamoja Augustino Ramadhani wanataka tumuite Marehemu badala ya Hayati?
Huyu baba alokufa kaacha alama gani ambazo zinaishi hadi aitwe Hayati?
Wabunge ffeki 19? Matibabu ya Lissu? Kuwakaondoa wabunge wa Upinzani ndani ya bunge? Kujiuzulu au nini?
Watanzania watamkumbuka huyu Mgogo kwa Lipi?
Kifo ni kifo tu
Ujinga flani hivi mtu amejiuzulu heti MstaafuHuu ujinga nilianza kuuona kwa Lowassa kulazimishwa kumuita waziri mkuu mstaafu, wakati alijiuzulu kwa kashfa ya Richmond. Yale yale ya Samia kuitwa rais wa awamu ya sita, na sio rais wa sita awamu ya tano.
Leo ndio nimekuelewa na unajua hiloHuu ujinga nilianza kuuona kwa Lowassa kulazimishwa kumuita waziri mkuu mstaafu, wakati alijiuzulu kwa kashfa ya Richmond. Yale yale ya Samia kuitwa rais wa awamu ya sita, na sio rais wa sita awamu ya tano.
Lowassa ilitakiwa aitwe vp?Huu ujinga nilianza kuuona kwa Lowassa kulazimishwa kumuita waziri mkuu mstaafu, wakati alijiuzulu kwa kashfa ya Richmond. Yale yale ya Samia kuitwa rais wa awamu ya sita, na sio rais wa sita awamu ya tano.
Darasani tulifunzwa neno "hayati" hutumika Kwa mtu aliyetimiza miaka 10 Tangu kufariki hapa unasema nini?Tofauti ya "Hayati na marehemu" ni
- Hayati Mwalimu Julius Nyerere alikuwa kiongozi wa kwanza wa Tanzania.
- "Hayati" ni neno la heshima linalotumika kumrejelea mtu aliyefariki ambaye alikuwa na mchango mkubwa au nafasi ya kipekee katika jamii.
- Hutumika zaidi kwa viongozi wa kitaifa, watu mashuhuri, au wale waliokuwa na hadhi ya juu.
- Mfano wa matumizi:
- Neno hili lina uzito wa kihistoria na heshima ya kudumu — mara nyingi hutumika hata miaka mingi baada ya kifo cha mtu.
Wakati neno "Marehemu" ni neno la kawaida linalotumika kumrejelea mtu yeyote aliyefariki.
- Marehemu bibi yangu alifariki mwaka jana.
- Halina masharti ya hadhi au mchango wa mtu; linaweza kutumika kwa mtu wa familia, jirani, au mtu asiye maarufu.
- Mfano wa matumizi:
- Ni neno la heshima pia, lakini si la kipekee kama "hayati".