busura zaidi
Senior Member
- Aug 24, 2016
- 111
- 151
Abeee. Umesema??Pete sio ndoa, ila inaleta heshima na thamani ya mtu alie katika ndoa. Hata nikiwa home nikivua najiona nipo uchi wa mnyama.
Huyu Joyce Kiria alitendwaga kipindi cha nyuma basi anawachukiaga wanaume haswaa na anaweka wazi.kakamata serengeti boy hukuna kipya hapo alishakuwa kwenye ndoa awali.
Hata kutokuvaa pete ni changamoto pia. Mtu kama anafundisha watu kwanini asiwe mfanoMnawekaje mada za kumjadili mtu badala tujadili changamoto za maisha?