Kwanini Joyce Kiria huwa havai pete ya ndoa?

Kwanini Joyce Kiria huwa havai pete ya ndoa?

Pete sio ndoa, ila inaleta heshima na thamani ya mtu alie katika ndoa. Hata nikiwa home nikivua najiona nipo uchi wa mnyama.
 
nasubiria name mniweke na mniambie kwanini sivai kiremba hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa kuwa Pete sio ndoa na unaweza kuivaa bila masharti. Nadhani ni utaratibu tu waliojiwekea waja...
 
1472724691939.jpg
Mme wake anavumilia tuu no way NDOA za siku hiz tunavumiliana tukichokana tuna achana
 
kakamata serengeti boy hukuna kipya hapo alishakuwa kwenye ndoa awali.
Huyu Joyce Kiria alitendwaga kipindi cha nyuma basi anawachukiaga wanaume haswaa na anaweka wazi.

Mwanzoni akikuwaga anawaumbua wanaume wenye matatizo ya ndoa zao hata kwa mambo yasiyopaswa kuwekwa hadharani.

Lazima atakuwa anamtawala sana mumewe.
 
Pete sio ndoa. Wapo wanaojivalia mipete ya ndoa n hata boyfriends hawana. Mimi binafsi hua navaa nkikumbuka.
 
Ndoa zenyewe na mtu wa ukawa dakika yoyote anabadilisha gia angani[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Joyce mchepuko wangu lijue ilo kwanza

Nilisha mwambia kama una miad ya kuonana namie sitak kukuona na pete
 
Back
Top Bottom