Wakuu nimeulizwa hilo swali na kijana wangu Jana,lakini kwa vile mile sayansi kwangu ni Giza nikabaki nakodoa macho tuu.
Msingi wa swali ni kuwa umbali toka kwenye jua mpaka duniani haubadiliki asubuhi wala mchana. Sasa kwa nini mchana jua linakuwa Kali zaidi kama vile limedogea zaidi? Msaada wa uelewa tafadhali.
Tambua ya kuwa Dunia ndio inazunguka jua na jua liko stationary (heliocentric theory). Na vile vile dunia ni duara fulani iv (flattened sphere).
kwa hyo dunia inavokua inajizungusha kwny mhimiri wake ina speed yake. Inapokua kwetu ni usiku upande wa pili wa dunia inakua mchana.
Dunia inapojizungusha inapitia vpnd tofauti tofauti. Wakat wa asubuhi upande wa sura ya dunia tuliopo cc unakua unali face jua kwa kias kdogo. Wakati wa mchana unaliface jua kwa kias kikubwa kabisa na wakat wa jion unakua unaelekea upande wa pili ambao haupati jua kabisa.
hope utamwelezea vizur akuelewe ss.
Refer to the earth's rotation on its axis;
the earth rotates from west to east and there is different incoming solar radiations depending on various factors including angle of inclination of the earth in relation to the sun...that's results to day and night and other related outcomes
Iko iv asubuhi miale ya jua ni ile ile sawa na mchana lkn tofaut ni kwamba asubuhi na jion kias cha miale kinatawanywa kwenye eneo kubwa na ndio maaana inakuwa aina nguvu na mchana miale inatua kwenye 90 degree na hiii inasababisha miale mingi kukutana katika eneo dogo
Kwa sababu google iko kwa Kiingereza!!Ameuliza kwa lugha ya kiswahili kwanini umjibu kwa lugha ya kiingereza?
ili lina ukweli ndani yake sema kuna watu wanakuwa wabishi tuu humu ndani kwani sio kila tunachofundishwa ndivyo kilivyoo.The earth is not flat, is rotating on its own axis and the sun.
Jua la asubuhi linakuwa limetoka kulala ndo maana sio kali sana ila lile la mchana linakuwa limeshaanza kazi ndo maana linakuwa kali.
Theory and not estabished fact. that what we have been taught in the past but it has been discovered just recently the sun is also moving... google you will see...